Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,102
- 2,718
Hakuna kosa la ukahaba. Wale wanawake waachiwe watafute pesa wanavyojua. Ni kosa mtu mwenye hela nyingi kuwashangaa wanawake wanaofanya ukahaba.
Dini ya Kikristu haikatazi haya mambo. Unakumbuka Papa Francis alifanya mkutano na wauza vipodozi. No kidding! Papa alifanya mkutano na wauza vipodozi, presumably kuwaambia kwamba they are doing a fine job.
Kwanza lazima ujue Yesu ametoka wapi. Manabii waliopita walitoka kwenye familia tajiri. Na mtu akitoka kwenye familia tajiri maneno yake yatakuwa hayo hayo,"Usijidhalilishe na vijisenti."
Kwa hiyo ikawa lazima Yesu aje, kazaliwa kwenye familia maskini, ahubiri neno ambalo mtu maskini anaweza kulielewa.
Halafu yule mama mmoja akamuuliza Chalamila, “Wahuni wote walikuwa wanakwenda kwa hawa makahaba, binti zetu wanasalimika. Sasa kwa nini umeyavunja madanguro?"