PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,725
Wakuu Wanajamvi,
Naomba tushee haya mambo yanayonitatanisha!
Nimeshawasikia wadada kadha wakisema kwamba siku hizi kuzaa kawaida (normal delivery) imepitwa na wakati.
Dada mmoja ambae mjamzito akadai kuwa yeye akifikia kujifungua atafanya mipango ya kupelekwa theatre kufanyiwa operesheni , akisema kwamba kuzaa normal kunaharibu shepu na kumlegeza mwanamke (sijui ni idara ipi inayolegea)!
Lakini pia kuna dada mmoja family friend, ambaye ni msomi mzuri sana, ni Medical Doctor wa hapa Mount Meru, ambapo yeye ameamua wanae wote wazaliwe kwa oprtn, na anakuwa amepanga kabisa tarehe za kuwazaa, na anadai anataka birthday za watoto hao ziwe na mtiririko fulani aliouchagua yeye na bwanake!
Lakini pia anatoa sababu kuwa kuzaa normal kuna risk/possibility kubwa ya kuzaa mtoto tahira kutokana na handling ya wazalishaji!
Je wnandugu ni kweli kujipangia upasuaji mkubwa huo ni fasheni?