Hii ndiyo familia inayotawala ulimwengu!!

Masikini Hidekel,

Kwa hiyo Mwalimu aliposema kuna familia tano ukaamini? Huyo mwalimu wako alikuwa Mpuuzi fulani ambaye badala ya kukiri kuwa hafahamu, yeye akaishia kusema kuna familia tano na akaishia hapo. Mbona basi hakusema kuna familia 13 kama mleta thread anavyosema hapa?

Tumeshaambiwa zamani kuwa ni WAYAHUDI ndiyo wanaitawala dunia na kuwa USA ni Israel ndiyo inaamua kila kitu ila kwa kesi ya Obama, tumeona kuwa SI KWELI kwa sababu Bibi pamoja na kuweka vita ya wazi na Obama, bado Obama aliweza kushinda kwa nguvu kubwa ya Weusi, Spanish na Wazungu wengi Ma-Liberali.

Kushuka na kupanda kwa pesa huwa ni vitu vya kawaida ambavyo kwa watu wanaocheza na uchumi kila siku (Mwalimu wako alikuwa na haki zote za kutokujua - ingawa kwangu bado naona ni kosa) wanaweza kuangalia kwenye charts za nchi jinsi hali inavyokwenda. Wanaangalia vipato vya watu vinakwendaje, uzalishaji unakwendaje nchini, Export na Import ina balance vipi nk. Hapa kwenye Export na Import ndiyo huwa mzizi wa fitina. Kumbuka nchi nyingi TAJIRI duniani, wakishazalisha bidhaa nyingi sana na kuziweka kwenye maghala au zile ambazo hazikununulika, huwa wanafanya kitu kama SALE. Ndani ya nchi huwa ni kupunguza BEI na kuuza bila kodi ila kwa nje, huwa wanachofanya ni KUPUNGUZA THAMANI YA PESA yao kwa makusudi kabisa. Wakishauza bidhaa zao za kutosha, ndipo wanarudisha tena thamani ya pesa juu. Sasa kila mtaalamu kwa kujua muda wa SALE unaishia wapi, atakuambia kuwa kipindi fulani, Dola itapanda.
Ila huwa hatari sana kwa nchi masikini kwa sababu ukikosea kidogo, utaishia kuporomoka kwa pesa kama Zimbabwe.

Katika watu wanaoogopwa duniani kwa UTABILI wao ni GEORGE SOROS (alizaliwa Schwartz György). George Soros ni Myahudi-Mmarekani ambaye alizaliwa Hungury. Akiwa na umri kama wa miaka 15, alishirikiana na askari wa NAZI kuwaibia Wayahudi wengine. Huku akiwa anajua walio matajiri, alikuwa akiwaambia Askari wa NAZI na wanakwenda kuchukua mali za hao watu na wanagawana. Hadi vita ya II ya dunia ilipokwisha, Soros akiwa kijana mdogo sana alikuwa tayari kashajipatia mtaji wa kutosha. Huyu bwana huwa akishasema Pesa fulani itashuka au kupanda, baii kwenye Mnada wa Hisa huwa kunatokea Shake Down na pesa kweli kupanda au kushuka. Pana wakati Mandela alikaa naye na kumuomba ushauri wafanyeje nchi kama SA ili kujilinda na watu wenye uwezo kama wake kwa KUTAMKA TU.

Namfahamu Mpingo mmoja anayeishi Majuu ambaye huko Majuu anaaminika sana sana kwa utabiri wake. Wengi wanadai kwa zaidi ya asilimia 90, anachosema huwa ni kweli. Sidhani na yeye anatoka kwenye familia ya hao watano.
Nafahamu kuwa kuna UONGO mkubwa sana hutumika kwenye hiyo minada na ndiyo maana Obama akasema kuwa USA kama Serikali itanunua hisa kwenye makampuni yote makubwa ili tu waweze kuwa na uwezo wa kwenda kuchungulia ndani ya chungu. Hawa jamaa walikuwa wakionyesha kampuni ina pesa na faida ya kutosha wakati si kweli.

Hata wewe ukitaka kufuatilia kwa karibu huu mchezo, utaishia kuelewa mechanizm iliyopo ndani yake.

haya mambo mi nilipata idea tu kwamba kweli yapo pale nilipomuuliza lecturer wangu wa financial planning nilipokua nikichukua MBA . nilitaka kujua mechanism zinazopelekea kusema pesa fulani imepanda au imeshuka na hisa zinavyopanda na kushuka acha ile ya hypothetical ya kusema labda investors wame-switch appetite na kadhalika ambazo kwangu naziona ni very theoretical. akasema uchumi wa dunia unatawaliwa na watu watano na katika hilo mlolongo mzima wa mambo yote unaanzia hapo kwa hao watu watano ila hakuwataja
 
[h=1]How did George Soros "break the Bank of England"?[/h]
In
Britain, Black Wednesday (September 16, 1992) is known as the day that speculators broke the pound. They didn't actually break it, but they forced the British government to pull it from the European Exchange Rate Mechanism (ERM). Joining the ERM was part of Britain's effort to help along the unification of the European economies. However, in the imperialistic style of old, she had tried to stack the deck.

Although it stood apart from European currencies, the British pound had shadowed the German mark in the period leading up to the 1990s. Unfortunately, the desire to "keep up with the Joneses" left Britain with low interest rates and high inflation. Britainentered the ERM with the express desire to keep its currency above 2.7 marks to the pound. This was fundamentally unsound because Britain's inflation rate was many times that of Germany's. (Keep reading about this in Stop Keeping Up With The Joneses - They're Broke.)

Compounding the underlying problems inherent in the pound's inclusion into the ERM was the economic strain of reunification that Germany found itself under, which put pressure on the mark as the core currency for the ERM. The drive for European unification also hit bumps during the passage of the Maastricht Treaty, which was meant to bring about the euro. Speculators began to eye the ERM and wondered how long fixed exchange rates could fight natural market forces. Spotting the writing on the wall, Britain upped its interest rates to the teens to attract people to the pound, but speculators, George Soros among them, began heavy shorting of the currency.

The British government gave in and withdrew from the ERM as it became clear that it was losing billions trying to buoy its currency artificially. Although it was a bitter pill to swallow, the pound came back stronger because the excess interest and high inflation were forced out of the British economy following the beating. Soros pocketed $1 billion on the deal and cemented his reputation as the premier currency speculator in the world.

From:
How did George Soros "break the Bank of England"?
 
Hiyo ni ASS yako Mkuu. Ass wangu mimi kwa jina jingine anaitwa DONKEY au PUNDA.

Pichani nikiwa nimembeba PUNDA wangu tayari kwenda kutibiwa. Akipona ntamleta UMPIGE BUSU. Halafu naona hata Kiingereza hujui kabisa Mwanawane. Yaani "kiss my ass" maana yake ni "Funua ta*o upigwe busu?" Masikini Secondary za Kata utawajua tu.

PUNDA.jpg

"KISS MY ASS" MANAKE FUNUA ta-ko UPIGWE BUSu
 
Tatizo kubwa tulilonalo ni kupenda kusikiliza ya kuambiwa bila kufikiri sisi wenyewe
'
Tunamuamini yoyote bila kushughulisha akili zetu hata kidogo
'
Kuna mambo ukikagua na kufuatilia kidogo tu utagundua kuna mambo hayako sawa
'
Kwanini hatufanyi utafiti?
 
jamaa umekariri sana!!!ndio zipo kumi na tatu kama vidole vitano mkononi ila vingine virefu vingine vifupi vingine muhimu sana vingine ni vya lazima!!!kuna mtu kawataja hapo roca felaz na Rothschild..unahisi hawa jamaa hawana uingiliano au unahisi Rothschild hawana influence kwa rocafelaz!!!!?
Acha kudanganya watu, kuna familia 13 za illuminati zinazoendesha dunia na wanaoweka marais marekani ni rockerfeller family
 
Tatizo kubwa tulilonalo ni kupenda kusikiliza ya kuambiwa bila kufikiri sisi wenyewe
'
Tunamuamini yoyote bila kushughulisha akili zetu hata kidogo
'
Kuna mambo ukikagua na kufuatilia kidogo tu utagundua kuna mambo hayako sawa
'
Kwanini hatufanyi utafiti?

Ndiyo maana mimi nikauliza, huyu anayesema THE Rothchilds wanamiliki nusu ya uchumi wa dunia, anatumia kigezo gani? Tutaaminije hilo bila kupewa njia iliyotumiwa au hata definition ya "uchumi"?

Maana mtu anaweza kusema Malkia wa Uingereza anamiliki uchumi wote wa Uingereza na akawa sawa.

Etymologically speaking neno "Malkia" na "miliki" yote yanatoka katika mzizi mmoja.

Tukiuliza hadithi nyingi, hamna majibu.
 
aaah mi napita tuu na nimeipenda tuu ila kwa upeo wangu mdogo kuna vitu vingi sana hapa duniani vinaenda kama vinatokea tuu ila kumbe vilipangwa kitambo!!!dunia ina siri sana ndugu zangu na yote yanayosemwa hapa yanawezekana....sina uhakika kama hawa jamaa ndio kila kitu hapa duniani bt inawezekana ikawa hivyo!!!!
Nimetumia google ku search JF wapi?



Detail gani? detail utupe wewe uliyesema wana miliki half of the world's economy. Uliposema half ulimaanisha kwa kipimo gani? Au unaleta inexact bullshyt hapa?

Unajua half of the world's economy ni kitu gani?



Siwezi kupinga kwa vivid facts kitu kilicholetwa kwa vacuous generalities ambazo zina defy categorization. Nitaanzia wapi kupinga by vivid facts wakati hata wewe hujatuambia unatumia vigezo gani kusema wanamiliku half of the world's economy? Nitanzia wapi?



Taarab umeileta wewe kwa kuanza kusema wanamiliki half of the world's economy bila kutuambia details, umepataje hii figure ya 0.5, na kwa nini ni 0.5 na si 0.6 wala 0.4 ?



Huwaga ndiyo kitu gani? We mlugaluga wa wapi? Mtantura wa wapi unatuharibia Kiswahili wewe? Hujajua Kiswahili unataka kutufundisha kuhusu The Rothchilds?



Na hapa katika post hii unafanya nini?



Do you even know what the word "accountability" means? I doubt that.

Ungejua maana yake usingelitaja hapa.Maana tangu post yangu ya kwanza mpaka hii ninachokuomba ni accountability.

Neno accountability linatokana na "count" etimologically speaking.

Kwamba kwenda kwa hesabu, ku exact mambo, ukisema "wanamiliki nusu ya uchumi wa dunia" utuonyeshe njia uliyotumia kupata hiyo figure ya nusu, na iwe nusu kweli si 0.4 wala 0.6.

Ndiyo accountability hiyo. If you are so accountable, show us your methods and your sources.

Sio unapiga kelele za jumlajumla "wanamiliki nusu ya uchumi wa dunia", ukiulizwa umepataje hiyo figure unaleta abracadabra.

And then you have the audacity to talk "accountability" without even knowing the meaning of the word!

How could you cry for my accountability when you are shying from being accountable yourself? You are not open as to how do you get your figures, you are not open as to what do you mean by "nusu ya uchumi wa dunia", that is not accountable.

If there is anybody who needs more accountability here, it is you, not Kiranga.
 
ni kweli hawa ndio walimuua gadafi baada ya kutaka kufungua bank ya frica na kutaka kufanya gold kutumika kama means of xchange(hela) kwa africa na ndio waliompa order barak kuzuia sehemu kubwa ya pesa za libya huko america trilions of dola!!gadafi ni miongoni mwa watu walioitesa sana hii family na yeye pia alijua uwepo wao na alivyo threat kwao pia na hata sadam pia alikuwa threat kwao!!!africa was to be 1 kama sio hawa -------..na hujui kuwa walimuua gadafi siku chache kabla ya yeye kulounch hiyo bank!!!
Ndio kusema hawa Mbwa ndio waliua Ghadafi, lakini kama ni hivo kule China au North Korea hawawezi kutia timu hata robo na pia Russia hawana chao say kwa Ulaya hii ya makenge sawa ila kwingne kama Mashariki hawana lolote kule...
 
aaah mi napita tuu na nimeipenda tuu ila kwa upeo wangu mdogo kuna vitu vingi sana hapa duniani vinaenda kama vinatokea tuu ila kumbe vilipangwa kitambo!!!dunia ina siri sana ndugu zangu na yote yanayosemwa hapa yanawezekana....sina uhakika kama hawa jamaa ndio kila kitu hapa duniani bt inawezekana ikawa hivyo!!!!

Inawezekana pia mtu kupita katikati ya ukuta wa matofali bila kuchubuka.

What are you really trying to say?
 
what am tryin to say is thiz pipo might real be the most influential family in world events and matters!!kuhusu nani atawale wapi kwa wakti gani na mambo mengine kwa manufaa yao esp kama wao ndio wanahisi ni NWO!!nimesoma sehemu na nukuu Paul Johnson writes "[T]he Rothschilds are elusive. There is no book about them that is both revealing and accurate. Libraries of nonsense have been written about them... A woman who planned to write a book entitled Lies about the Rothschilds abandoned it, saying: "It was relatively easy to spot the lies, but it proved impossible to find out the truth." so sina udhibitisho wa yanayosemwa sababu hawa ni secret family labda ndio new world order wenyewe kama inavyosemwa na inawezekana kuna siri pia baina yao wenyewe/wao kwa wao..hakuna mwenye ukweli kuhusu hawa jamaa tofauti na kina gates na kina dangote ambao a to z zao zipo hadharani.kumbuka thiz dudz have been there for centuries co kina gates hawana hata 100 years kwenye mamlaka na pia nahisi kina gates wamewekwa na hawa watu!! nilivyowahi sikia kwa watu flani wajuzi wa mambo hawa jamaa the Rothschilds huwafanyia hila kubwa mataifa na familia zinazoibukia na kuhatarisha utawala wao mf;- sadam na gadafi au akili na mawazo ambazo uhatarisha utawala wa USD!!jamaa wako vizuri na wamejipanga naweza sema they are powerful coz hata wao walitake over baada ya kuzipiku familia kubwa za zamani ambazo zilitawala miaka mingi kuliko wao!!so far hakuna familia iliyotajwa kuwa na nguvu zaidi yao achana hawa matajiri wanaotajwa tajwa tuu..
Inawezekana pia mtu kupita katikati ya ukuta wa matofali bila kuchubuka.

What are you really trying to say?
 
what am tryin to say is thiz pipo might real be the most influential family in world events and matters!!kuhusu nani atawale wapi kwa wakti gani na mambo mengine kwa manufaa yao esp kama wao ndio wanahisi ni NWO!!nimesoma sehemu na nukuu Paul Johnson writes "[T]he Rothschilds are elusive. There is no book about them that is both revealing and accurate. Libraries of nonsense have been written about them... A woman who planned to write a book entitled Lies about the Rothschilds abandoned it, saying: "It was relatively easy to spot the lies, but it proved impossible to find out the truth." so sina udhibitisho wa yanayosemwa sababu hawa ni secret family labda ndio new world order wenyewe kama inavyosemwa na inawezekana kuna siri pia baina yao wenyewe/wao kwa wao..hakuna mwenye ukweli kuhusu hawa jamaa tofauti na kina gates na kina dangote ambao a to z zao zipo hadharani.kumbuka thiz dudz have been there for centuries co kina gates hawana hata 100 years kwenye mamlaka na pia nahisi kina gates wamewekwa na hawa watu!! nilivyowahi sikia kwa watu flani wajuzi wa mambo hawa jamaathe Rothschilds huwafanyia hila kubwa mataifa na familia zinazoibukia na kuhatarisha utawala wao mf;- sadam na gadafi au akili na mawazo ambazo uhatarisha utawala wa USD!!jamaa wako vizuri na wamejipanga naweza sema they are powerful coz hata wao walitake over baada ya kuzipiku familia kubwa za zamani ambazo zilitawala miaka mingi kuliko wao!!so far hakuna familia iliyotajwa kuwa na nguvu zaidi yao achana hawa matajiri wanaotajwa tajwa tuu..

Duh,

Do people still read Paul Johnson and take him seriously? To this day?

There is no book that is revealing and accurate about a lot of powerful people, but that does not mean "wanamiliki nusu ya uchumi wa dunia".

No contest the Rothchilds may be some powerful beasts, but "wanamiliki nusu ya uchumi wa dunia"?

For real?
 
Karne iliyopita.Rothschilds,according to wikipedia,;by far the richest family in the world. In the 1800's. Rumour has it kwamba ni Charles peke yake ndie mtoto wa Philip. Watoto wengine wote wa Elizabeth ni wa Rothschild. Siji ni jambo la hekima kuandika hizi rumours,au ni kutafuta kubanduliwa kucha.
Lakini huu ndio ugomvi wa Rothschilds na every body else.Huu ndio ulikuwa ugomvi kati ya Rothschilds na Czar Nikolas,na ndio sababu ya Russian Revolution. Kwamba Rothschilds ndio wakopeshaji,na nchi ikishindwa kulipa madeni,Rothschild anamwambia mfalme,''Give me your wife.'' Czar Nicholas alikataa,na Rothschilds wakaapa kwamba they will destroy him,and they did.
Lakini familia moja inayoongoza dunia,sasa hivi,kwa research niliyofanya mpaka sasa,kuna unaweza kusema familia moja inaongoza Dunia,ni British Royal Family.
In fact hii New World Order inayozungumziwa sana,plan yake in the final stages,ni kumweka honorary king,a member of the British Royal Family,most probably Prince William.

 
mzungu siku zote atabaki kuwa juu,ana vyombo vya khabari vya kutosha vya kuweza kumdanganya mtu mpaka akaamini uongo alioutengeneza kuwa ni kweli ili tubaki kuwa watumwa wa mataifa yao kwa miaka mingi zaidi kadri inavyowezekana.
 
Endrew na Kiranga,

Hii kitu wengi inawachanganya. Ila ukweli ninaamini kama nilivyoandika mapema kuwa hii familia ilikuwa Powerful miaka ya zamani yaani miaka ya 1800's hadi na 1990's. Ila kama wanavyosema WIKIPEDIA na jambo hili ni lazima iwe hivyo kwani ndiyo maisha ya binadamu yalivyo, hizi familia zimekuwa kubwa sana na hivyo visenti wamevigawana na kuwa Matajiri wa kawaida wa dunia ya leo. Wikipedia wanasema:
During the 1800s, when it was at its height, the Rothschild family is believed to have possessed by far the largest private fortune in the world as well as by far the largest fortune in modern world history. The family's wealth is believed to have subsequently declined, as it was divided amongst hundreds of descendants. Today, Rothschild businesses are on a far smaller scale than they were throughout the 19th century, although they encompass a diverse range of fields, including: mining, banks, energy, mixed farming, wine, and charities......

Hivyo basi, leo hii kusema kuwa wameshika Uchumi wa dunia si kweli. Kwanza nina imani leo hii ukiwachunguza, utakuta kwenye familia kuna hadi weusi, Wahindi, Wa-Asia nk. Nafikiri ukiwalinganisha na familia nyingine kama Wazee wa meli za mizigo kutoka Denmark yaani MAERSK + LLOYD (wameshainunua Lloyd) unaweza kukuta tayari wana upinzani mkubwa tu.

Pia kampuni zao lazima zitakuwa zimewekwa kwenye Stock Market ambazo Owner wake ni watu kutoka dunia nzima.
Karne iliyopita.Rothschilds,according to wikipedia,;by far the richest family in the world. In the 1800's. Rumour has it kwamba ni Charles peke yake ndie mtoto wa Philip. Watoto wengine wote wa Elizabeth ni wa Rothschild. Siji ni jambo la hekima kuandika hizi rumours,au ni kutafuta kubanduliwa kucha.
Lakini huu ndio ugomvi wa Rothschilds na every body else.Huu ndio ulikuwa ugomvi kati ya Rothschilds na Czar Nikolas,na ndio sababu ya Russian Revolution. Kwamba Rothschilds ndio wakopeshaji,na nchi ikishindwa kulipa madeni,Rothschild anamwambia mfalme,''Give me your wife.'' Czar Nicholas alikataa,na Rothschilds wakaapa kwamba they will destroy him,and they did.
Lakini familia moja inayoongoza dunia,sasa hivi,kwa research niliyofanya mpaka sasa,kuna unaweza kusema familia moja inaongoza Dunia,ni British Royal Family.
In fact hii New World Order inayozungumziwa sana,plan yake in the final stages,ni kumweka honorary king,a member of the British Royal Family,most probably Prince William.

 
Last edited by a moderator:
Nashawishikia kukuamini,kwa sababu ya 13
Dunia inatawaliwa na familia 13
'
Kila familia ina majukumu yake,lakini kuna familia mbili zina nguvu kuliko zingine,familia hizo ni Rockerfeller(Rock-Feller) na Rothschild(Red-Shield)
'
Hitler alikua na asili ya kiyahudi,hakuwahi kuwachukia wayahudi na hakuwahi kuwaua wayahudi mil 6,hizi ni historia za kutunga
'
Hitler ni mmoja kati ya watu waliosaidia "kuundwa" kwa taifa fake la Israel
'
Hivyo dunia imedanganywa sana kuhusu mambo mengi!
 
mwaga madini zaidi
Hawa jamaa wanafanikiwa sana sababu wanafanya mambo nyuma ya pazia na kwa usiri mkubwa.sasa hivi wako kwenyd mazungumzo na wakristo na waislamu ili waungane wawe wanasali jumapili na mazungumzo yanaendelea wakishafanikiwa hili basi watakuwa wamemaliza kazi.lakini hili litafanikiwa tu wakisha muondoa assad syria
 
Andrew umeelewa kinyume
Karne iliyopita.Rothschilds,according to wikipedia,;by far the richest family in the world. In the 1800's. Rumour has it kwamba ni Charles peke yake ndie mtoto wa Philip. Watoto wengine wote wa Elizabeth ni wa Rothschild. Siji ni jambo la hekima kuandika hizi rumours,au ni kutafuta kubanduliwa kucha.
Lakini huu ndio ugomvi wa Rothschilds na every body else.Huu ndio ulikuwa ugomvi kati ya Rothschilds na Czar Nikolas,na ndio sababu ya Russian Revolution. Kwamba Rothschilds ndio wakopeshaji,na nchi ikishindwa kulipa madeni,Rothschild anamwambia mfalme,''Give me your wife.'' Czar Nicholas alikataa,na Rothschilds wakaapa kwamba they will destroy him,and they did.
Lakini familia moja inayoongoza dunia,sasa hivi,kwa research niliyofanya mpaka sasa,kuna unaweza kusema familia moja inaongoza Dunia,ni British Royal Family.
In fact hii New World Order inayozungumziwa sana,plan yake in the final stages,ni kumweka honorary king,a member of the British Royal Family,most probably Prince William.

 
Back
Top Bottom