Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,174
Mtu aliyezaliwa 1965 akisema fursa ya vyuo ilikuwa haipo ni kwa sababu alikuwa kilaza tena hakukuwa na ufisadi na kusoma ilikuwa bureee bwerere tena yeye akiwa palepale jikoni enzi za analogue alikuwa na advantage. Lakini sasa yaonekana alikuwa mtoto wa kijiweni kupata stori za Yanga na Simba hivyo book haikuwa saana. Lakini jihadharini watu wa namna hiyo huwa pia ni TISS maana kipindi wanapotea wanaenda mazoezi wakirudi wanaibukia kwenye makampuni binafsi na mipira kama Azan
Sio 1966 tu hata waliosoma miaka 1990s pia fursa ilikuwepo wabunge wa design hii wanasoma kwa sababu hata ukiangalia CV yake utaona amemaliza primary school 1979 lakini ajabu secondari amekumbuka kujiendeleza miaka ya 2000, hii inainyesha moja kwa moja kuna kitu alikuwa anatafuta nacho si kingine ni uongozi. Kama mtu alikosa fursa ya kwenda sekondari kulikuwa na fursa nyingine ya kusoma masomo ya jioni.