Umepiga ngumi kidonda ndugu
Na wanyama kama twiga na pundamilia kwa pembeni kushoto wakitoroshwa kwenda nchi za nje.hebu ongeza na magorofa magorofa hapo pembeni coz ni moja kati ya sifa za mwanachama
Umepiga ngumi kidonda ndugu
kachoma sindano kwenye kidonda...
Haya bana, jamaa kachanja chale kwenye kidonda kibichi kabisa.
yaani ingekuwa magari yana aibu kama binadamu hilo la kulia lisingekubali kupigwa pichami naiona ni kama haya malori hapo chini
View attachment 53132
yanajaribu kutatua tatizo bila mafanikio. kamwe safari haiwezi kuendelea iwapo madereva watakuwa wamepata ajali au kukimbia udereva.
Umepiga ngumi kidonda ndugu
.................View attachment 53129