Hii ndio njia bora kabisa ya kudili na watu wanaokusengenya

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,115
27,105
Ukiona watu wana kusema sababu huwaga ni 2 tu

1: they don't have the access or the privilege to talk to you.

2. They have lose the privilege to talk to you.

So the only option which they have is to talk about you behind ur back.

So how do you deal with it? Kama wewe ni muhanga wa kusengenywa usifadhaike kamwe kwa sababu haupo peke yako. Wasengenyaji wanazaliwa kila siku. Wapo toka enzi za Pontyo wa Pilato. Mfalme Daud walimsengenya mpaka akaja na zaburi inaitwa " Bwana atafanya meza yangu mbele ya macho ya watesi wangu"

Hao watesi alio kuwa anawazungumzia Daud sio watu wenye nguvu ( waliokuwa wana mtesa) ila wasengenyaji kama hao wanao kusengenya wewe. Kwa sababu kiuhalisia hakuna mtu ambae angeweza " kumtesa" King David. If God the Almighty have ever lived on earth through a human being then he must have done it through David. David was nothing but God manifested on earth.

Ukitaka kujua Daud alikuwa anasengenywa na watu soma matukio ya Daud muda mchache baada ya Absalom Rebellion. Baada ya Absalom kufanya uasi Daud alikwenda exile kijiji cha jirani na alipokuwa huko kuna mtu mmoja alimuona akaropoka " You are a bloody man" kwamba Daud alikuwa muuaji. Huyu mtu anawakilisha maelfu ya wasengenyaji walio kuwa wakimsengenya Daud. Walimsengenya kwa sababu he was too big for them in the battle. The only place where they could defeat him was in their covens. Gossiping against David was their only way to escape the reality ( that they can't defeat him ) through imagination.

BACK TO THE POINT: HOW TO RESPOND TO PEOPLE WHO GOSSIP AGAINST YOU.

1. GIVE THEM A DEAF EAR: JIFANYE HUWASIKII NA USIJIBU WALA KU REACT CHOCHOTE DHIDI YA MANENO YAO.

Mwaka 2007 jijini New York meneja wa tawi la benki moja mashuhuri chini Marekani alitembelewa na classmate wake mfanyabiashara ambae alitaka kufungua akaunti yake kwenye benki hiyo lakini pili alitaka kuchukua mortgage kupitia benki hiyo. Wakiwa ofisini kwa meneja aliingia dada mmoja mrembo staff wa benki hiyo na kuongea na meneja kwa ishara kwa kama dakika tano hivi kisha akatoka nje. Yule mfanyabiashara alishangaa kuona meneja anawasiliana na mfanyakazi wake kwa ishara. Meneja akamwambia huyu dada ni kiziwi na yeye ndio yupo kwenye kitengo cha kushughulikia malalamiko yote kuhusu mortgages.

Mfanyabiashara alishangaa sana kuona how comes kitengo kigumu kama hicho chenye walalamishi kama hicho anawekwa mtu asie weza kusikia. Jamaa alikuwa very curious what was so special about her.

Meneja akamwambia jamaa kama unataka kujua kuhusu hilo basi wewe nenda kapange foleni and then akisha kuhudumia utajua umuhimu wa kumuweka dada huyo mahali hapo.

Baada ya lisaa limoja mfanyabiashara aliingia ofisini kwa meneja akiwa so much excited. Akasema " Nikiwa kwenye foleni watu walikuwa wakimtolea dada huyo maneno machafu ya nguoni, walimsengenya na kumpa lawama ambazo kimsingi si zake. Lakini pamoja na yote hayo dada huyo hakujibu chochote wala kureact against them in any manner whatsoever...

Yote hiyo ni kwa sababu alikuwa hasikii wanacho kisema.

" Hakuna mtu anae sikia ambae angeweza kuendelea kufanya kazi hiyo kwa bashasha kwa namna walivyo kuwa wakimtukana na kumsengenya"

Jamaa ali kiri mbele ya meneja kwamba amejifunza kitu kikubwa sana kwenye maisha yake kwamba kumbe maneno ya watu usipo yajibu utakuwa umejiepusha na matatizo mengi sana.

Hii ndio njia sahihi kabisa ya kudeal na wasengenyaji. Treat them as if you never heard anything about what they say about u behind ur back.

2. SPEAK BACK ABOUT THEM BUT SPEAK GOOD ABOUT THEM: Mara nyingi wasengenyaji huwaga wanasengenyana pia wao kwa wao na katika kikundi chao huwaga lazima atakuwepo mtu mmoja au wawili ambao watakufikishia habari au at least watajifanya wanakuuliza kuhusu mtu anae kusengenya.

Kama hiyo ikitokea wewe wazungumzie kwa uzuri na toa sifa nyingi nzuri kuhusu wao . Jamii itakuheshimu mara kumi zaidi na hao wasengenyaji watastop kukusengenya...

( what is good about msengenyaji?) Anything good kwa mfano anaweza kuwa ana degree 2 basi wewe sema jamaa yupo very smart darasani or something
 
Kwa upande wangu

Silent treatment ( Huwa inawaumiza sana, hawajui wapi pa kushambulia)

IDGAF ( i dont care wanachosema, nitajali yanayonihusu)

AND TELLING THEM ''YES YOU ARE RIGHT" halafu naendelea na kazi zangu
Sahihi
 
Mimi nikimsikia mtu ananisengenya lazima nimtandike tu, siwezi kubali mtu kunichafulia jina afu nikae kimya.

Nishachapa watu 4 kwenye kitaa chetu ikawa funzo kwa wengine.Naogopwa Sana.
Usioweza kuwatandika unawafanyaje?
 
Mimi nikimsikia mtu ananisengenya lazima nimtandike tu, siwezi kubali mtu kunichafulia jina afu nikae kimya.

Nishachapa watu 4 kwenye kitaa chetu ikawa funzo kwa wengine.Naogopwa Sana.
Kama unaweza kufanya hivyo sio mbaya pia
 
Ukiona watu wana kusema sababu huwaga ni 2 tu

1: they don't have the access or the privilege to talk to you.

2. They have lose the privilege to talk to you.

So the only option which they have is to talk about you behind ur back.

So how do you deal with it? Kama wewe ni muhanga wa kusengenywa usifadhaike kamwe kwa sababu haupo peke yako. Wasengenyaji wanazaliwa kila siku. Wapo toka enzi za Pontyo wa Pilato. Mfalme Daud walimsengenya mpaka akaja na zaburi inaitwa " Bwana atafanya meza yangu mbele ya macho ya watesi wangu"

Hao watesi alio kuwa anawazungumzia Daud sio watu wenye nguvu ( waliokuwa wana mtesa) ila wasengenyaji kama hao wanao kusengenya wewe. Kwa sababu kiuhalisia hakuna mtu ambae angeweza " kumtesa" King David. If God the Almighty have ever lived on earth through a human being then he must have done it through David. David was nothing but God manifested on earth.

Ukitaka kujua Daud alikuwa anasengenywa na watu soma matukio ya Daud muda mchache baada ya Absalom Rebellion. Baada ya Absalom kufanya uasi Daud alikwenda exile kijiji cha jirani na alipokuwa huko kuna mtu mmoja alimuona akaropoka " You are a bloody man" kwamba Daud alikuwa muuaji. Huyu mtu anawakilisha maelfu ya wasengenyaji walio kuwa wakimsengenya Daud. Walimsengenya kwa sababu he was too big for them in the battle. The only place where they could defeat him was in their covens. Gossiping against David was their only way to escape the reality ( that they can't defeat him ) through imagination.

BACK TO THE POINT: HOW TO RESPOND TO PEOPLE WHO GOSSIP AGAINST YOU.

1. GIVE THEM A DEAF EAR: JIFANYE HUWASIKII NA USIJIBU WALA KU REACT CHOCHOTE DHIDI YA MANENO YAO.

Mwaka 2007 jijini New York meneja wa tawi la benki moja mashuhuri chini Marekani alitembelewa na classmate wake mfanyabiashara ambae alitaka kufungua akaunti yake kwenye benki hiyo lakini pili alitaka kuchukua mortgage kupitia benki hiyo. Wakiwa ofisini kwa meneja aliingia dada mmoja mrembo staff wa benki hiyo na kuongea na meneja kwa ishara kwa kama dakika tano hivi kisha akatoka nje. Yule mfanyabiashara alishangaa kuona meneja anawasiliana na mfanyakazi wake kwa ishara. Meneja akamwambia huyu dada ni kiziwi na yeye ndio yupo kwenye kitengo cha kushughulikia malalamiko yote kuhusu mortgages.

Mfanyabiashara alishangaa sana kuona how comes kitengo kigumu kama hicho chenye walalamishi kama hicho anawekwa mtu asie weza kusikia. Jamaa alikuwa very curious what was so special about her.

Meneja akamwambia jamaa kama unataka kujua kuhusu hilo basi wewe nenda kapange foleni and then akisha kuhudumia utajua umuhimu wa kumuweka dada huyo mahali hapo.

Baada ya lisaa limoja mfanyabiashara aliingia ofisini kwa meneja akiwa so much excited. Akasema " Nikiwa kwenye foleni watu walikuwa wakimtolea dada huyo maneno machafu ya nguoni, walimsengenya na kumpa lawama ambazo kimsingi si zake. Lakini pamoja na yote hayo dada huyo hakujibu chochote wala kureact against them in any manner whatsoever...

Yote hiyo ni kwa sababu alikuwa hasikii wanacho kisema.

" Hakuna mtu anae sikia ambae angeweza kuendelea kufanya kazi hiyo kwa bashasha kwa namna walivyo kuwa wakimtukana na kumsengenya"

Jamaa ali kiri mbele ya meneja kwamba amejifunza kitu kikubwa sana kwenye maisha yake kwamba kumbe maneno ya watu usipo yajibu utakuwa umejiepusha na matatizo mengi sana.

Hii ndio njia sahihi kabisa ya kudeal na wasengenyaji. Treat them as if you never heard anything about what they say about u behind ur back.

2. SPEAK BACK ABOUT THEM BUT SPEAK GOOD ABOUT THEM: Mara nyingi wasengenyaji huwaga wanasengenyana pia wao kwa wao na katika kikundi chao huwaga lazima atakuwepo mtu mmoja au wawili ambao watakufikishia habari au at least watajifanya wanakuuliza kuhusu mtu anae kusengenya.

Kama hiyo ikitokea wewe wazungumzie kwa uzuri na toa sifa nyingi nzuri kuhusu wao . Jamii itakuheshimu mara kumi zaidi na hao wasengenyaji watastop kukusengenya...

( what is good about msengenyaji?) Anything good kwa mfano anaweza kuwa ana degree 2 basi wewe sema jamaa yupo very smart darasani or something
 
kabla ya kukaa kimya mwambie msengenyaji kwamba unafahamu yote anayosema juu.yako alafu kaa kimya

atahangaika kujitetea kwa kila namna ila usimpe nafasi ya kusikilizwa

ila kitakacho furahisha humu wote tutakuwa ndio watendewa hatuta pata hata mmoja mtenda
 
Nope haina haja ya kumwambia hivyo
 
Alisema Mtume Paulo mapema sana "fanya amani na watu wote".
 
Dunia ya sasa imekuwa tatizo utakuta mtu anajifanya mtu wa mungu ila dhambi hii ya usengenyaji imekuwa janga hapa tanzania watu wanaishi kwa kusengenyana tu
Aisee tena hao wanao jifanya watu wa Mungu ndio hatari zaidi. Watu wanao ishi kwenye nyumba za kupanga nawaonea huruma sana. Kuna mpangaji wangu kapange kwangu analala chini aisee wanamsema huyo hatari mpaka kaja ku complain kwangu
 
Sisi wote hapa kuna wakati na sisi ni wasengenyaji. Cha msingi ulomsengenya asikujue maisha yaendelee.
Kuna msemo unasema,ONDOKA TUKUSEME

Wakati wewe upo na genge lako unawasema wenzio,nawewe ukiondoka tu wanakugeuka,

Kifupi maisha ya binadamu mda wote ni kusengenyana
 
Back
Top Bottom