Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Sijawahi kua na huruma ya kweli kwa watumiaji wa ngada maana wote na majuha tu ila kwa unafiki tunajifanya tunawahurumia ila hawa wehu walitakiwa wale poda mpaka wafe wenyewe ili wawe mfano kwa wengine(nimeongea ya moyoni)
ni kweli huwezi kuwa na huruma kwao ni mpaka utakapoelewa tupo katika wakati gani. kuaminiana kumepungu sana, marafiki, ndugu au walio karibu yako wanaweza kukutumbukiza katika majanga bila kujua.
 
Unga mbaya ....,mimi nina kaka yangu na mkewe
Nakwambia wote powder kwa kwenda mbele ....wana angamia hivi hivi ,maumivu yake anajua Mungu ......,tumeshindwa njia zote !
Nashauri wauzaji wauwawe hadharani ..
 
Unga mbaya ....,mimi nina kaka yangu na mkewe
Nakwambia wote powder kwa kwenda mbele ....wana angamia hivi hivi ,maumivu yake anajua Mungu ......,tumeshindwa njia zote !
Nashauri wauzaji wauwawe hadharani ..
Hiikitu siyo yamchezo mchezo homba munguvakuepushe
 
Kulingana na UTAFITI nilioufanya mimi mjini Mombasa ninapotoka, THE PROBLEM IS PEER PRESSURE. Kaa mbali na marafiki au watu mnaojuana wanaotumia hizi vitu. Vijana wengi wanadanganyana kuwa ukivuta unga unakuwa High kushinda Pombe au Bangi na pia unakuwa na uwezo mkubwa kitandani(Uwezo wa kuSex kwa mda mrefu) coz Unga ni zaidi ya Viagra. Mwanamme anayetumia Unga anapata tabu sana kupiga bao, anaelea kwenye utamu tu na hii ni advantage kwa mwanamke anayelala nae coz anaweza kumfanya mwanamke huyo Kukojoa kwa urahisi sana. On the other side, mwanamke aliyevuta unga ni rahisi sana kukojoa anapoSex.

Na wanasema utamu wa kuvuta Unga ni sawa na Utamu wa mwili mzima kupiga bao continuosly (Full Body Orgasm) mpaka stimu itakapokatika. Sasa hapa ndio sielewi.

Wengine wanasema ukishavuta, unajiskia dunia ni yako, shida zimekuondokea na kila kitu unakiona AMAZING kwako, au unajiskia kama Mungu amekukumbatia, au unaskia raha sana na mwili wako unajiskia vizuri mno. Shida ni pale stimu inapokatika, ile raha inapoisha ndio unajiskia unataka kuskia ile feeling tena. Hapo ndio utafanya juhudi zote ili uskie ile feeling tena. Wanasema its the best feeling in the world. Ndio maana utapata MATEJA wengi hawajali kuhusu muonekano, usafi, familia au afya zao. Roho zinawabadilika na wengine wanageuka wezi bila kutaka. Wanachojali ni ile feeling tu ya kuvuta unga wanayosema ni The best ever.

WARNING: STAY AWAY FROM DRUGS.
 
Unajuwa kwa nini hiyo kitu imeitwa albadiri ya kihindi?nyie mkiona kila kitu mnataka kujaribu tu..niulizeni mimi washkaji zangu wengi wao wamekufa kutokana na hizo dawa...any way ushauri wangu ni mtu haachi uteja kwa kulazimishwa..na usije ukamcheka teja cha maana ni kumuomba Mungu atuepushe na balaa hilo.
 
Uncle juz alikua arosto ful kuhara jana kaenda iba leo yaaan nyumba inanuka unga sigara na bangi afu ananiletea simu aloiba ni unlock passwrd loh...huu mwaka wa 20 ni teja unamuonea huruma had unachoka
 
"Amani kwa kaka voda milionea waambie wadogo zako waache poda wale mmea"- Babuu wa kitaa

Langa (R.I.P) akajibu "Amani kwa kaka voda milionea mwambie mdogo ako aache ushoga na umbea"
Hivi huyo alikuwa Babuu au Jay moe?!
 
Mbona mwenyewe hajionei huruma kama hajijali haina haja ya kushughulika nao. El chapo ndio awashughulikie
 
Sometimes wakienda kununua marijuana pushers wana mix ili ku recruit clients
Nilikua naish mwenge hapo miaka flani nikawa naenda kununua bangi kwa pusha flani siku akanimixia na na unga sema nilikua na mungu nilivuta na sikudumu nayo muda mrefu mpka sasa sitaki kukumbuka kma nimeacha bangi
 
SINZA MAPAMBANOO KWA WACHINAA ILEMASHINE INAONDOA HADI SUMU YA HIV

UKIWEKA MIGUU WANAKUUNGANISHA NA MITAMBO MAJIYANAANZA BADILIKA RANGI KUWA BLUE AMA NYEKUNDU... UKIONA MAJIMEKUNDU KAPIME NA NGOMA UKITOKA HAPO
BEI GANI HIYO HUDUMA??
 
Back
Top Bottom