Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
- Thread starter
- #61
kwa hiyo unamaanisha hao watu wana nguvu kuliko Mungu?? Siamini...kumbuka If God says NO....hata wangemmiminia risasi za moyo asingekufa!! U better say something else... not this man!!
Unadhani Mungu atasema No wakati tayari umeshajitenga naye na unaabudu Miungu wengine?