Hii nchi, ni rahisi sana , , ,,,

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Mtu yeyote kuiongoza, bila kujali umri wala elimu. Nipo hospitali hapa, mapokezi na kwenye makoridor hamna wagonjwa, wameamua kubaki nyumbani au kutibiwa hospitali binafsi bila manung'uniko kwa serikali bali wanawalaumu madocta. TBS watu wamelipa gharama za ukaguzi wa magari yao nje ya nchi kwenye kampuni feki na kupigiwa mihuri inayotambuliwa 'ki-deal' na TBC, watu kimyaa.! Wahusika wa uozo wote na mengine mengi wanaendelea kupokea mishahara. Viongozi wa nchi wanaraha sana.
 
watu wameambiwa watahamishwa kigamboni kuwapisha wawekezaji,wametulia kimya wanauliza watahamishwa lini, mafisadi wana utajiri wakutisha ambao huwezi elezea mali hizo wamepataje, na wengine inajulikana jinsi walivyoiibia serikali,watu wapo kimya,wanawasifia,wanawaita ktka harambee,wanachangiwa millions of tsh wanashangilia,then kimya. wafanyakazi wenzetu wanaiibia sana serikali,watanzania tunawasifia....jamaa wanapiga hela mbaya........ kweli ni nchi rahisi sana kuiongoza
 
Sasa usibishe wanaposema kuna nguvu za kishirikina katika maswala mazima ya uongozi wa inji hii.
 
Si ushirikina bro, ila ni akili zetu zilizoganda na kushabikia vitu visivyokuwa na maana. Tunampigia nyimbo kwenye bendi zetu na kumwita papaa au pedeshee mtu ambaye ni tapeli anawaibia wenzie, tunawasifu watu kama akina EL kwamba ni wanaumme wa shoka (S. Simba aliwahi tamka hivyo) kwa sababu tu anasaidia kwenye harambee za kujenga kanisa, kuna wengine ni wanasheria wanajenga mashule kwa pesa za wizi bado tunawaona mashujaa.
Hayo mapesa yamekatwa kodi? Ukifuatilia utakuta ni madudu matupu hakuna kodi wala nini.
Nchi hii kweli ni rahisi kutawala na ndo maana imfilisika kirahisi.
Bora Ben aliuza mashirika ya umma lakini hivyo vijisenti alivyopata alivisimamia vizuri mno.
 
Nchi ya watawala na shemeji zao hii ukiwa kwenye hiyo circle mambo saaaafi kabisa.
 
Tanzania is a peaceful country, six years without a president and we are just OK. Sio mimi, kaandika mwanajamvi mmoja jana(?)
 
Si ushirikina bro, ila ni akili zetu zilizoganda na kushabikia vitu visivyokuwa na maana. Tunampigia nyimbo kwenye bendi zetu na kumwita papaa au pedeshee mtu ambaye ni tapeli anawaibia wenzie, tunawasifu watu kama akina EL kwamba ni wanaumme wa shoka (S. Simba aliwahi tamka hivyo) kwa sababu tu anasaidia kwenye harambee za kujenga kanisa, kuna wengine ni wanasheria wanajenga mashule kwa pesa za wizi bado tunawaona mashujaa.
Hayo mapesa yamekatwa kodi? Ukifuatilia utakuta ni madudu matupu hakuna kodi wala nini.
Nchi hii kweli ni rahisi kutawala na ndo maana imfilisika kirahisi.
Bora Ben aliuza mashirika ya umma lakini hivyo vijisenti alivyopata alivisimamia vizuri mno.

El aliiba ili ajekujiwekea heshima ya kusaka urais
 
tz ugumu upo kwenye kuingia kwenye big club,ukishaingia baaaas bata kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom