Hii nchi kila kona fremu

Labda katiba mpya inaweza ikaja na suala la framenomics
Yaani inabidi Framenomics itungiwe sheria kama ya EWURA iwe na Regulatory body yake. Maana inaonekana ni eneo nyeti linaloweza kuitoa nchi kiuchumi tukafika uchumi wa juu wa kati chap

Hiyo regulatory body iitwe
"Mamlaka ya kuthibiti na Kusimamia Frame Tanzania"

Serikali ikiamua kila frame inatoza 10,000 kwa mwezi itapata mpunga wa kutosha
 
Umemuona Makonda ana Fremu? Au Mwigulu?
Sasa hili swali gani mtu mzima unaniuliza swali kama hili, kwahiyo ukimuona makonda ana frem wewe utafanya kwa kuwa makondo amefanya, kila mtu hubarikiwa na kufanikiawa tokana na njia zake sio kwasababu kafanya fulani na fulani.. Wewe kama unaona una kibali kwenye biashara fanya biashara wewe kama una kibali kwenye siasa fanya siasa nk usiige hujui mwenzako kapitia njia gani kufanikiwa
 
Uwezo wetu umeishia hapo, hata jwtz,wamemega ardhi Yao na kufanya fremu,! Badala, ya kufungua kiwanda cha vipuri vya magari, ndege, tutengrneze piki piki tu, waaapi!
Bongo ni wataalam wa ndoa, jinsi ya kulidhishana ki ngono, muziki, uchambuzi wa mpira, na ma kelele
 
Back
Top Bottom