Hii nchi ina waziri wa mambo ya nje kweli???

Olele kibaoni

Member
Mar 17, 2012
15
0
Kama jibu ni ndio mbona raisi kila kukicha yupo safarini??au anatumia profesion yake??au waziri alie mteua ni kilaza??
 
yupo , ila waziri wetu wa mambo ya nje amezidi mno kuwasikiliza waarabu kuliko watu wa western europe na USA. mpaka leo hajalaani syria kwa kuuwa raia zake bila sababu. Ila aliwahi kulaani Israel kwa kuwapiga wapalestina walipokuwa wanarusha maroketi ndani ya Israel. sasa kwa nini raisi ammind mtu kama huyo?

kuna wakati alikwenda ktk sherehe za misri kutimiza miaka 60 ya uhuru wao kutoka uingereza. balozi wa misri alitumia masaa manne akilitukana matusi taifa la uingereza mbele ya waziri huyo bila ya waziri huyo kutoka katika sherehe. sasa wewe hapo unaona kitu gani?
 
Kama huna tatizo la mtindio wa akili basi unachanganya waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na yule wa Uingereza au kudhani kwamba waziri wetu anastahili kucheza ngoma ya Uingereza. Halafu unachanganya kati ya kile walichofanya waisrael na syria. Yale ya Syria ni mambo ya ndani lakini yale ya Israel ni uvamizi ambao hata Security Council waliukemea. Mkikosa la kuongea hamuwezi kuangalia hata mikanda ya mwisho ya maigizo ya Kanumba kuliko kuropoka?
 
Ziara za Rais haizina Protocol kwahiyo hahitaji Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje; ni kama vile anakwenda Bagamoyo hachukui waziri wa mambo ya nje, ujue safari ni binafsi ya kusafisa macho na kujiendeleza mwenyewe; kwa kifupi haina manufaa kwa Taifa...
 
mwenye ufahamu zaidi atujuze zaidi jamani,lazima kuna tatizo sio bure kila kukicha yupo safarini,mbona hatusikii yeye akitembelewa kama anavyotembelea??na hata akitembelewa utakuta ni mijidikteta yenzake isiyo na mashiko kama museven.mwenye ufahamu atujuze jamani kuna kitu hapo lazima.
 
Sasa kama kuna kitu, basi wewe unayejua ndiyo utujuze, na si kuletaa mada hasi hapa usiyoijua mbele wala nyuma halafu unategemea tukujuze nini? Epuka matumizi ya viroba mida ya kazi chalii
 
Kama huna tatizo la mtindio wa akili basi unachanganya waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na yule wa Uingereza au kudhani kwamba waziri wetu anastahili kucheza ngoma ya Uingereza. Halafu unachanganya kati ya kile walichofanya waisrael na syria. Yale ya Syria ni mambo ya ndani lakini yale ya Israel ni uvamizi ambao hata Security Council waliukemea. Mkikosa la kuongea hamuwezi kuangalia hata mikanda ya mwisho ya maigizo ya Kanumba kuliko kuropoka?
Nina mikanda lukuki ya Kanumba au hata Kingwendu naweza kuwapatia hawa jamaa wakazugazuga nayo wanapokuwa hawana la kufanya.
 
Back
Top Bottom