Hii Natumaini JK Atakua Kaipata

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Helen Kijo-Bisimba (Katikati) akitoa tamko la Asasi za Kiraia kuhusu mgomo wa madaktari unaoendelea na Serikali kutotoa taarifa za kina kuhusu mgomo huo. Asasi hizo zilifunga Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Salenda jijini Dar es Salaam.
Wanaharakati.jpg
 
Kilichonivutia ni huo ujumbe hapo juu kushoto!
attachment.php
 
Walilikoroga sasa inabidi wajue na kulinywa, JK anamfanya PINDA kuwa chambo, yeye amekaa kimya PINDA anapindika tu,

Siku ile alijichanganya sasa sijui leo atawaambia nini Madakitari. Sijui atasema mnisamehe kwa kauli ya siku ile nilikuwa nimeonja Wanzuki kidogo au atawaambia kesho wasiporudi watajifukuzisha kazi na serikali itawaleta mgambo wa Jiji kufanya kazi Mahospitalini!!!

YETU MACHO TUNASUBIRI!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kazi kweli kweli.

Maji kayavulia nguo na anashindwa kuyaogea. Mungu ibariki TZ.
 
Back
Top Bottom