Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Ulishawahi kujiuliza maybe in 60s, 70s, 80s au 90s kwamba kipindi hicho kama wanaume walikuwa wakipagawa na makalio makubwa ya wanawake kama ilivyo sasa?

Je wanawake pia waliweza kuji-glorify kwa kuwa wana makalio makubwa?

Au wanawake wameji-glorify baada ya wanaume kuanza ku-glorify haya makalio makubwa?

Je, ukubwa wa makalio umekuwa ni sehemu moja wapo ya kumvutia mwanaume tangu enzi?

Mtu anaweza kuraise a point kuwa kipindi kile hawakuepo, namaanisha breed ya wanawake wenye makalio makubwa haikuwepo kipindi kama ilivyo sasa.

Kuna rafiki yangu mmoja alinipatia point moja:

"unajua kipindi kile wanawake walikuwa hawavai nguo za kubana kwa hio makalio yao yalikuwa hayajioneshi wazi wazi"

Kwa wale wafuatiliaji wa vitabu vya Kidini, je kuna sehemu walionesha kuwa makalio ya mwanamke yalicheza part kubwa katika urembo wake. Ila mara nyingi wanaandika mwana mama mwenye uzuri wa sura alimvutia falme au mwanafalme.

Au kwa wale wafuatiliaji wa historia za kiAfrika. Je kuna andiko lilionesha makalio yalicheza part kubwa katika matanio ya wanaume juu ya wanawake kwa kipindi cha zamaniz

So what really happened to us men, ambapo sasa tukaanza kupagawa na haya makalio makubwa ya wadada.

︎Je ni influence ya porn.
︎Je ni evolution juu ya wanadamu iliyoleta mabadiliko katika mavutio na matamanio mapya
︎Je ni style mpya ya nguo za kubana zilizopromote obsession hii.
︎Je ni shetani na influence za kiroho juu ya wanadamu.

Karibuni kwa michango mbali mbali.
View attachment 2362756View attachment 2362757
1980's na 1990's tulipagawa sana na makalio makubwa. Tuliyaita "wowowo", "tukunyema" na majina mengine ya namna hiyo.
 
Ni suala la enzi,
Makalio makubwa yana ashiria Hips pana, kwa enzi za maendeleo duni ya technolojia wenye hips walikua wakijifungua bila shida.
Kwa sasa ni suala la fashion.

Binafsi sijawahi kuvutiwa nayo
Una heri
 
Ni upepo ambao hupita karibia field zote (elimu,afya,fashion,tech,mahusiano,burudani) kwa kizazi chake & wakati :,field mahusiano" mwanamke mwanya,umbo namba nane,mweupe,miss slim" ...Adult industy haswa ya black USA mfano- all dat azz, Imechangia pakubwa kwa hili la mwanamke tako kubwa,na fashion designer wamepigilia msumali, Wachache wanaotunisha misuli na upepo kama khadja kopa ananivuta shati na kuning'ata sikio "MWANAMKE SKILINI SEVA NA NYONGA,MAKALIO YANAFAATA BAADAYE-top in town..Pigo kubwa au athari huwa kwa wale watu wasiofiti na upepo huo...
 
Yalipendwa zamani mpaka mifumo ya mitikisiko ikaitwa singda dodoma.
 
Ulishawahi kujiuliza labda ndani ya 60s, 70s, 80s au 90s kwamba kipindi hicho kama wanaume walikuwa wakipagawa na makalio makubwa ya wanawake kama ilivyo sasa?

Je, wanawake pia waliweza kujitukuza kwa kuwa wana makalio makubwa? Au wanawake wamejitukuza baada ya wanaume kuanza kutukuza haya makalio makubwa?

Je, ukubwa wa makalio umekuwa ni sehemu moja wapo ya kumvutia mwanaume tangu enzi? Mtu anaweza kutoa hoja kuwa kipindi kile hawakuepo, namaanisha uzao wa wanawake wenye makalio makubwa haukuwepo kipindi kama ilivyo sasa.

Kuna rafiki yangu mmoja alinipatia point moja: "Unajua kipindi kile wanawake walikuwa hawavai nguo za kubana kwa hiyo makalio yao yalikuwa hayajioneshi wazi wazi."

Kwa wale wafuatiliaji wa vitabu vya kidini, je, kuna sehemu walionesha kuwa makalio ya mwanamke yalicheza nafasi kubwa katika urembo wake? Ila mara nyingi wanaandika mwana mama mwenye uzuri wa sura alimvutia Mfalme au mwana Mfalme.

Au kwa wale wafuatiliaji wa historia za ki Afrika, je, kuna andiko lilionesha makalio yalicheza nafasi kubwa katika matanio ya wanaume juu ya wanawake kwa kipindi cha zamani?

Kwahiyo nini hasa kilitokea kwetu wanaume, ambapo sasa tukaanza kupagawa na haya makalio makubwa ya wadada?

︎Je, ni ushawishi wa video za ngono?
︎Je, ni mageuzi juu ya wanadamu yaliyoleta mabadiliko katika mavutio na matamanio mapya?
︎Je, ni mtindo mpya wa nguo za kubana zilizokuza obsession hii?
︎Je, ni Shetani na ushawishi wa kiroho juu ya wanadamu?

Karibuni kwa michango mbali mbali.
View attachment 2362756View attachment 2362757
internet na video za porno ndio sababu kubwa. Kila mtu ana access ya internet na kila wanachokiona kwenye internet wanataka kuiga na ndio maana watu wengi wanawataka wanawake zao wawape tigo.
 
This is an African mentality, wazungu hawaendekezi huu ujinga huko kwao.
Ni kama kipindi cha nyuma ilikua Mwanaume mwenye kitambi ndio anaonekana tajiri,ana pesa na mademu walimbabaikia! So,wengi walitamani kua na vitambi!!

Baada ya muda hilo ni kama limepita,sasa hivi wamejua kua Six pack ndio bora zaidi,

So,hata hili la kupenda makalio makubwa nalo litapita tu,

Labda niulize swali,
Hii issue ya kupenda makalio makubwa ni world wide au ni Africa tu?
 
Back
Top Bottom