Hii message ina maanishanini

kabugira

JF-Expert Member
May 14, 2014
1,186
650
Wadau, jana rafiki yangu alikuja kwangu akataka nimwonyeshe namna ya kuwa na account ya jamiiforums, ili aweze kutaga zangazo lake. Tulifanikiwa kifanya registration
Sasa kila akitaka kuedit thred anaata messagehii
"Your membership in this forum is pendig forum admin approval. Please tryagain later."

mpaka sasa hatukafanikwa, tatizo ni nini?
 
Hiyo msg inasema "usajili wa account yako unasubiri kuthibitishwa na admin"

Hivyo utaweza kutumia account hiyo baada ya admin kuwa wamethibitisha taarifa za account yake
 
Duuuh basima admin wanatutesa? maana hii ni toka jana saaa 8 mchana. Naona hana jinsi itabidi asubiri tu.
 
na account ya jamiiforums, ili aweze kutaga zangazo lake. Tulifanikiwa kifanya registration
Sasa kila akitaka ku-edit thred anaata message hii
"Your membership in this forum is pendig forum admin approval. Please tryagain later."

We jamaa unaweza kuja kutisha kingereza yaani hapo hujui huwez tafsiri ila unaandika ? mbona hayo maneno nliyoyashade umeweza yaandika ?
 
Comeon guys! the issue is not about writing, readig or speaking english, rather it is about how long does it take the administrator to approve a newly registered member!? It is a second day now and yet the member is unable to edit any thread !!!
 
Mkuu kwan wewe ulipofungua account yako ya jamii forum hukupata huo ujumbe?
 
Mimi sikupata ujimbe kama huu, ni zamani kidogo, na hasa kwa muda mrefu mamna hii, ndani ya risaa rimoja mimi nilikuwa tayari nina uwezo wa ku-like au kutoa comments kwa thread za wachangiaji.
 
Tatizo limeisha??
 
Wewe ni msukuma wa wapi? ama ni mkurya?? Kiswa chako kina-tatanisha sana mkuu

risaa rimoja,ujimbe, mamna...angalia unavyokidhalilisha kiswahili.....

unaongea hapa na Black P.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom