Mihogo ya kuchoma bado inauzwa Dar es Salaam?

Na hii kitu bado wanaichoma mitaani?

319037_479551958733559_759811148_n.jpg

Dah. Nimetamani kinoma. Hii kitu bado ipo mitaani Dar
 
Tulikuwa tunaipenda mihogo hasa tukitoka tuition tunapitia ''chips dume'' halafu inamwagiwa na kitu kama pilipili na imekaangiwa mawese. Tuition Jangwani na Tambaza siyo mbali hii ni miaka ya 80-90 tu
 
Jamani, posti zingine za kutiana njaa tu, leo MziziMkavu umeniharibia
kabisa sikukuu yangu kwa kuwa nimelazimika kutembea mji mzima nikisaka
hii kitu bila mafanikio...
Mkuu Bishop Hiluka Samahani kwa kukutia njaa ina maana hakuna hii kitu hapo mjini? imekuwa Big deal? Mimi sipo bongo ndio maana nimeiulizia nina hamu nayo miaka 40 iliyopita ndio nimekula sijala tena hivi karibuni. Nipo nje ya nchi Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Bishop Hiluka Samahani kwa kukutia njaa ina maana hakuna hii kitu hapo mjini? imekuwa Big deal? Mimi sipo bongo ndio maana nimeiulizia nina hamu nayo miaka 40 iliyopita ndio nimekula sijala tena hivi karibuni. Nipo nje ya nchi Mkuu.

Hii kitu ipo sana mjini, tatizo jana ilikuwa sikukuu
so ikawa ngumu kidogo kuipata...
 
Hii Kitu nimekula miaka 40 iliyopita wakati nilikuwa ninakwenda shule Mjini hapo Dares-salaam mpaka leo bado wanaichoma hapo mjini jamani nauliza?

attachment.php

Sukuma siku mbele.... Udenda unanitoka nime i miss siku nyingi jamani.................................

mzizimkavu, nikipitisha wiki bila kula hii kitu sijisikii vizuri, na kuna wanaoamini kuwa ukila hii kitu mbichi, e.jaculation yako inakuwa bomba...LoL!!
 
hii picha ulipiga miaka arobaini iliyopita?usituchoshe hapa

Back
Top Bottom