Hii kauli imepita muda wake ibadilishwe

donga

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
2,475
4,926
Hii kauli kwa sasa sikubaliani nayo aisee ukitaka kwenda kombo fuata hii kauli

"KWENYE KILA MAFANIKIO YA MWANAUME KUNA MWANAMKE NYUMA YAKE"

ila kwa mimi naamini kwanyakati hizi

"KWENYE KILA ANGUKO LA MWANAUME KUNA MWANAMKE NYUMA YAKE"


N:B..Either atakuwa mweupe or Anamkalio makubwa
 
Kwa mtazamo wako ni sahihi ila kwa mtazamo wa dunia sio.sahihi.

Kama mwanamke wako amekuwa sababu ya anguko lako basi huyo hakuwa sahihi kwako.
Mtafute sahihi atakayekuwa inuko lako.

Ombea billnass asikusikie
 
Kwa mtazamo wako ni sahihi ila kwa mtazamo wa dunia sio.sahihi.

Kama mwanamke wako amekuwa sababu ya anguko lako basi huyo hakuwa sahihi kwako.
Mtafute sahihi atakayekuwa inuko lako.

Ombea billnass asikusikie
ili anguko lilokee Lama mtu Apandee labda tusubiri
 
Kila kitu kibaya au kizuri kinachokutokea ujue wewe ndo umekiruhusu either kwa kujua au kwakutokujua.
 
Back
Top Bottom