Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,783
- 107,237
Hua sisahau kitu. Sijawahi kuExperienxlce kitu hikiNilishakutongozaga wewe sema umesahau
Hua sisahau kitu. Sijawahi kuExperienxlce kitu hikiNilishakutongozaga wewe sema umesahau
Ww si kataa ndoa mkuu๐๐ Tupo.
#YNWA
Umemaliza kabisaHao wanaotongoza wanaume wanakuwaga na ajenda( personal interest (s)) zao.
tena hata hawavungiRaha sana kutongoza mwanaume. Halafu wenyewe hata hawakatai... Maharage ya Mbeya maji mara moja tu
Mi nataka unitongoze weweHua sisahau kitu. Sijawahi kuExperienxlce kitu hiki
duh .......Nao wanahisia pia. Mimi kwangu kawaida nimetongozwa sana na wanawake. Wanasema Mimi hb na Nina macho ya nyege.
Mkuu tuyaone hayo macho mkuu ๐๐ค๐Nao wanahisia pia. Mimi kwangu kawaida nimetongozwa sana na wanawake. Wanasema Mimi hb na Nina macho ya nyege.
Tuma picha tuone ndio yanakuwaje?Nao wanahisia pia. Mimi kwangu kawaida nimetongozwa sana na wanawake. Wanasema Mimi hb na Nina macho ya nyege.
Hio mbn kawaida wadada wa sasa kugongwa kwao ni kama fashion hv kuna dem nilikuta kaorodhesha wanaume waliomla kilichonishangaza kuna baadhi alikuwa hawajui majina labda alikuwa ameandika sehem walipokuwa wanaish mse*g yuleOk,..kumbe ndio maana wanawake wanaotongozwa tongozwa sana ,wasipokua na masimamo, huwa wanaishia kugongwagongwa hovyo...daah,...Hatari sana hii kitu.
Mm pia niliwai kumkorofisha Ex_wangu kiasi Nilijua siwezi samehewa abadani nikaomba chance tuonane ana Kwa ana nimuulezee kwanini nilimkosea siku nime enda kuonana nae.....Tuma picha tuone ndio yanakuwaje?
Tumeni picha...haya maneno matupu hatutakiMm pia niliwai kumkorofisha Ex_wangu kiasi Nilijua siwezi samehewa abadani nikaomba chance tuonane ana Kwa ana nimuulezee kwanini nilimkosea siku nime enda kuonana nae.....
Nilisamehewa Kwa kuangaliana only EYE CONTACT .... the only thing alicho niambia na macho mazuri na Lips nzuri hii point nimewai kuambiwa na watu wengine wengi kiasi Cha kuthibitishwa na shirika la viwango vya ubora Tanzania (TBS)
It is against the law of nature kwa mwanaume kutongozwa na mwanamke halafu akamkataa.Kwema wadau?
Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.
Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau.
Nimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January, (Kwangu naona ni kama maajabu sana,....au nina tatizo labda?...au nimetupiwa majini ya mapenzi labda?)
Note: Mimi sio mzinzi,...I mean, siendeshwi na tamaa za Mwili, ; Ninazo nguvu za kuucontrol mwili wangu jinsi ninavyotaka , sio wenyewe unicontrol Mimi. ( Naona ni kama nawaumiza hawa watu kwร kutojali kabisa hisia / maneno yao)