Hii hapa ni Mikutano mitatu tofauti ya vyama vitatu tofauti iliyofanyika Kata tofauti tarehe 27/5/2023

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,350
Huu wa Kwanza kabisa ni mkutano wa ngazi ya Kata wa ccm kwenye Kata ya Mwalo huko Mbinga

FB_IMG_1685290042227.jpg

Unaofuatia ni mkutano wa ACT WAZALENDO , huu ni ngazi ya Jimbo Songea Mjini

FB_IMG_1685290035402.jpg

Huu wa mwisho ni Mkutano wa ngazi ya Kata wa Chadema , ni Kata ya Mashine Tatu .

FB_IMG_1685290026467.jpg

Picha zote hizi zimepigwa zaidi ya saa 10 Jioni .

Sasa wewe Toa tu maoni yako halafu ujiondokee .
 
Huu wa Kwanza kabisa ni mkutano wa ngazi ya Kata wa ccm kwenye Kata ya Mwalo huko Mbinga

View attachment 2638497

Unaofuatia ni mkutano wa ACT WAZALENDO , huu ni ngazi ya Jimbo Songea Mjini

View attachment 2638499

Huu wa mwisho ni Mkutano wa ngazi ya Kata wa Chadema , ni Kata ya Mashine Tatu .

View attachment 2638508

Kwani zile nyimbo za Capt Komba hazikupigwa
 
Sasa population ya Mbinga itakuwa sawa na ya Mashine tatu Iringa? Halafu hapo CHADEMA wameenda vigogo wote wa chama wakati kwa CCM hazidi mwenyekiti wa CCM Kata labda na diwani. Wewe mfuasi wa chama cha Mbowe usikurupuke kuleta uzi.
 
Jipeni matumaini na wingi wa watu, tuliokuwepo kwenye safari ya matumaini (mabadiliko 2015) tunajua kilichotokea pamoja na wingi wa watu waluokuwa na ma mvi.
CCM ukifika uchaguzi hata kura wanapozipata mtashangaa
 
Huu wa Kwanza kabisa ni mkutano wa ngazi ya Kata wa ccm kwenye Kata ya Mwalo huko Mbinga

View attachment 2638497

Unaofuatia ni mkutano wa ACT WAZALENDO , huu ni ngazi ya Jimbo Songea Mjini

View attachment 2638499

Huu wa mwisho ni Mkutano wa ngazi ya Kata wa Chadema , ni Kata ya Mashine Tatu .

View attachment 2638508

Picha zote hizi zimepigwa zaidi ya saa 10 Jioni .

Sasa wewe Toa tu maoni yako halafu ujiondokee .
Mimi nina swali kwako tu, pamoja na kwamba sikubahatika kusoma hadi mwisho, nikaishia kusoma picha.

Swali ni hili:Je, Sayansi inakubaliana na ulinganisho wa namna hii?
 
Huu wa Kwanza kabisa ni mkutano wa ngazi ya Kata wa ccm kwenye Kata ya Mwalo huko Mbinga

View attachment 2638497

Unaofuatia ni mkutano wa ACT WAZALENDO , huu ni ngazi ya Jimbo Songea Mjini

View attachment 2638499

Huu wa mwisho ni Mkutano wa ngazi ya Kata wa Chadema , ni Kata ya Mashine Tatu .

View attachment 2638508

Picha zote hizi zimepigwa zaidi ya saa 10 Jioni .

Sasa wewe Toa tu maoni yako halafu ujiondokee .
Kabla ya kutoa maoni, tunaomba atueleze mikutano hiyo ilikuwa na viongozi wa ngazi zipi kwa kila chama
 
Back
Top Bottom