Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,445 Nov 14, 2011 #1 Self bei yake Tsh.6000/= kwa usiku mmoja Single bei yake Tsh.3000/= kwa usiku mmoja
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 Nov 14, 2011 #2 imetulia kweli,big up kwa mwenye hiyo guest house.Nalog off
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Nov 14, 2011 #3 kwani hili jukwaa gani la FD nini au ni wapi..
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,445 Nov 14, 2011 Thread starter #4 ndetichia said: kwani hili jukwaa gani la FD nini au ni wapi.. Click to expand... Nawashtua washkaji ambao hatulali Guest zinazo zidi bei ya buku ten
ndetichia said: kwani hili jukwaa gani la FD nini au ni wapi.. Click to expand... Nawashtua washkaji ambao hatulali Guest zinazo zidi bei ya buku ten
Dena Amsi R I P Aug 17, 2010 13,082 4,262 Nov 14, 2011 #5 Fidel bana nenda hotel achana na mambo ya guest house
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,445 Nov 14, 2011 Thread starter #6 Dena Amsi said: Fidel bana nenda hotel achana na mambo ya guest house Click to expand... Hotel ghalama alafu nina wapenzi wengi si nitakuwa nawekeza hotelini sasa bora guest house bei chee na tunda unafaidi
Dena Amsi said: Fidel bana nenda hotel achana na mambo ya guest house Click to expand... Hotel ghalama alafu nina wapenzi wengi si nitakuwa nawekeza hotelini sasa bora guest house bei chee na tunda unafaidi
Gaijin JF-Expert Member Aug 21, 2007 11,812 5,289 Nov 14, 2011 #7 Sasa unaokoka kabla au baada ya shughuli ya elfu 6?
Sordo JF-Expert Member Nov 14, 2011 396 122 Nov 14, 2011 #8 Fidel huwezi kwenda hiyo guest na wapenzi wako wengi si unsona jina lilivyo? lazima nafsi itakusuta
Makindi N JF-Expert Member Mar 14, 2008 1,066 173 Nov 14, 2011 #10 Kuna guest inaitwa Wasi wasi Lodge - iko Mikese.................
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,445 Nov 14, 2011 Thread starter #11 Sordo said: Fidel huwezi kwenda hiyo guest na wapenzi wako wengi si unsona jina lilivyo? lazima nafsi itakusuta Click to expand... Huwa najifanya hilo jina sijaliona nazama tu
Sordo said: Fidel huwezi kwenda hiyo guest na wapenzi wako wengi si unsona jina lilivyo? lazima nafsi itakusuta Click to expand... Huwa najifanya hilo jina sijaliona nazama tu
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Jan 19, 2010 6,829 1,296 Nov 14, 2011 #13 du hommie..................mbona bango ni kubwa namana hiyo; hawakudai cheti cha ndoa mkiingia?
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Dec 21, 2010 2,697 1,962 Nov 14, 2011 #15 Billie said: Mkoa gani hiyo Click to expand... hiyo Njombe mkubwa. Sasa Fide kwa sasa tunaoishi mbali unatushaurije ili kuokoa gharama?
Billie said: Mkoa gani hiyo Click to expand... hiyo Njombe mkubwa. Sasa Fide kwa sasa tunaoishi mbali unatushaurije ili kuokoa gharama?
frank lujaju Member Aug 21, 2011 58 4 Nov 14, 2011 #16 Fidel80 said: Self bei yake Tsh.6000/= kwa usiku mmoja Single bei yake Tsh.3000/= kwa usiku mmoja Click to expand... Yap nimeipenda tukio ndani tunapeana neno tu kwenda mbele
Fidel80 said: Self bei yake Tsh.6000/= kwa usiku mmoja Single bei yake Tsh.3000/= kwa usiku mmoja Click to expand... Yap nimeipenda tukio ndani tunapeana neno tu kwenda mbele
K Kabonde JF-Expert Member Aug 12, 2008 420 34 Nov 14, 2011 #18 Hii haifai unaweza kudaiwa cheti cha ndoa.
fabinyo JF-Expert Member Aug 5, 2011 2,991 2,109 Nov 14, 2011 #20 hilo jina tu,mimi hoi!inanikumbusha pia,simba kapakatwa pub