Hii Bus Terminal ya Arusha itakuwa kali kushinda zote Tanzania. Hongera Rais Samia, hongera Mrisho Gambo

Hakuna aliyeshindwa may huelewi hata sababu za mgao

Pili aliyeharibu mnyororo wa thamani wa Sukari ni Magufuli na ndio alipitisha sheria ya kipumbavu inasumbua Hadi Leo hii.

Haya naona upo on duty, Magufuli alithibiti mgao, alithibiti mifumuko ya bei,mnaleta majibu ya kichawa kw kuramba viatu vya watawala.

Binafsi Mimi Islam ila kila awamu ya muislamu ikija huja na madudu ya hovyo sana,wakrsito wakiingia ndio wanajenga uchumi wa nchi!!

Fedheha sanakwa tawala za ndugu zetu!!
 
Baada ya kebehi na dharula za mda mrefu Kwa Arusha kukosa Standi Kuu na Bora ya Mabasi ya Mikoani Hatimaye Mama wa Vitendo Rais Samia Amewapa Wana Arusha furaha.

Mamlaka za ujenzi zimetoa michoro na renders za Standi ya Mkoa wa Arusha Bondeni City.

Picha ni Kali na Zenye hadhi ya Jiji ambalo ni mwenyeji wa Afcon 2027.Sasa kazi imesalia Kwa wajenzi kuhakikisha renders mlizotoa Mnajenga hivyo hivyo maana **** mazoea ya kuonyesha picha Kali ila Mnajenga vitu vingine kama pale Ubungo interchange.

View attachment 2906651View attachment 2906652

My Take
Mrisho Gambo ndio Mbunge ambae Kwa kipindi Chake Arusha Jiji imepiga hatua kubwa za Maendelea kuanzia alipokuwa RC Hadi Mbunge.

View: https://www.instagram.com/reel/C3aM3D1tRlG/?igsh=cWNrYWcyZXpjcWMw

Naona kama uharo wabata hapa. Hawa uliowataja wanahusikaje kwenye huo mradi? Pesa haitoki kwao, hawajachora ramani, hawajatoa eneo, sasa sifa za nini?
 
Haya naona upo on duty, Magufuli alithibiti mgao, alithibiti mifumuko ya bei,mnaleta majibu ya kichawa kw kuramba viatu vya watawala.

Binafsi Mimi Islam ila kila awamu ya muislamu ikija huja na madudu ya hovyo sana,wakrsito wakiingia ndio wanajenga uchumi wa nchi!!

Fedheha sanakwa tawala za ndugu zetu!!
Wewe utakuwa ni mjinga na pengine unaropoka usichokijua.Ukue kujadili mambo ya uchumi na ma layman Huwa ni kazi sana.

Hakuna Rais aliyewahi kukuza uchumi kumzidi Samia ikiwemo.kupunguza idadi kubwa ya maskini mtaani kwenu.

Huyo unaemsema aliongeza maskini wengi sana mtaani na imekuwa hivyo Kwa Viongozi wakristo wengi walau ukimtoa Mkapa.
 
Pesa haitoki kwao ila Inatoka Kwa Baba Yako au? Wivu 😆😆😆😆😆

Kama haitoki kwao stay tuned kwenye Bajeti ijayo nitakutag
 
Wewe utakuwa ni mjinga na pengine unaropoka usichokijua.Ukue kujadili mambo ya uchumi na ma layman Huwa ni kazi sana.

Hakuna Rais aliyewahi kukuza uchumi kumzidi Samia ikiwemo.kupunguza idadi kubwa ya maskini mtaani kwenu.

Huyo unaemsema aliongeza maskini wengi sana mtaani na imekuwa hivyo Kwa Viongozi wakristo wengi walau ukimtoa Mkapa.
Wewe mtaani kwenu masikini mlikua wangapi na mmebaki wangapi mpaka sasa?
 
Haya naona upo on duty, Magufuli alithibiti mgao, alithibiti mifumuko ya bei,mnaleta majibu ya kichawa kw kuramba viatu vya watawala.

Binafsi Mimi Islam ila kila awamu ya muislamu ikija huja na madudu ya hovyo sana,wakrsito wakiingia ndio wanajenga uchumi wa nchi!!

Fedheha sanakwa tawala za ndugu zetu!!
iitwe Lowasa bus complex station.
 
Baada ya kebehi na dharula za muda mrefu kwa Arusha kukosa Standi Kuu na Bora ya Mabasi ya Mikoani Hatimaye Mama wa Vitendo Rais Samia amewapa wana Arusha furaha.

Mamlaka za ujenzi zimetoa michoro na renders za Standi ya Mkoa wa Arusha Bondeni City.

Picha ni Kali na Zenye hadhi ya Jiji ambalo ni mwenyeji wa Afcon 2027.Sasa kazi imesalia Kwa wajenzi kuhakikisha renders mlizotoa Mnajenga hivyo hivyo maana **** mazoea ya kuonyesha picha Kali ila Mnajenga vitu vingine kama pale Ubungo interchange.

View attachment 2906651View attachment 2906652

My Take
Mrisho Gambo ndio Mbunge ambae Kwa kipindi Chake Arusha Jiji imepiga hatua kubwa za Maendelea kuanzia alipokuwa RC Hadi Mbunge.

View: https://www.instagram.com/reel/C3aM3D1tRlG/?igsh=cWNrYWcyZXpjcWMw

Na ijengwe.
 
Wewe FISIEM bumunda kweli hapo Gambo na Sa100 wanaingiaje hapo? Kwani fedha za kujenga huo mradi zinatoka mifukoni mwao? Si kodi za wananchi? Pumbav kabisa acha uchawa
 
Wewe utakuwa ni mjinga na pengine unaropoka usichokijua.Ukue kujadili mambo ya uchumi na ma layman Huwa ni kazi sana.

Hakuna Rais aliyewahi kukuza uchumi kumzidi Samia ikiwemo.kupunguza idadi kubwa ya maskini mtaani kwenu.

Huyo unaemsema aliongeza maskini wengi sana mtaani na imekuwa hivyo Kwa Viongozi wakristo wengi walau ukimtoa Mkapa.
Unathibitisha ujinga wako.

Samia aliingia mfumuko wa vyakula upo chini,leo je?!!

Ving'amuzi na bando kwneye simu zilikua chini,leo je?!!

Nauli za mabasi zilikua chini,leo je?!!

Bei ya maharage ambayo yanalipwa hapa Tanzania 1kg ilikua shs 1200,Leo ni shs 3200. Price inflation rate yake hapo kiasi gani?!!

Sukari ilikua kilo shs 2800,leo shs 4000-5000, mfumuko asilimia ngapi?!!

Mfuko wa cement ulikua shs 13,000-14,000 ila Leo ni shs 16,000-17,000. Mfumuko asilimia ngapi???

Dola moja ilikua shs 2300,leo je shs ngapi?!! Haujui pia kua dola pamoja na kua shs 2500 na bado sokoni haupatikani?!!

Vicha upumbavu wako kwa kukaa kimya,sio kila mtu ni chawa,naabosi zenu wanatakiwa kuwapima akili kabla ya kuwapa kazi ya uchawaaana hna akili mwisho mnakimbilia kutukana tu!!

Mimi ni CCM,kadi yangu moja ya watu wamwanzo kushiriki kufungua tawi la CCM ughaibuni chini ya Captain Jaka Mwambi,CCM sikuingia kama chawa!!
 
Kashindwa nini kutoa ruzuku kuua mfumuko wa bei ya sukari?!!

Kashindwa nini kudhibiti mgao wa umeme?!! Magufuli alimudu kuzima kabisa uhuni wa mgao wa umeme!!

Juzi wabunge wamesema wazi kwenye mabwawa ya umeme maji yanachepushwa yasiingie,tena ndani yabunge, wabunge wa kamati ya miundo mbinu- Samia kimyaa,kazi kiguu na njia,ushungi na jicho mdereko!!
Usingemjibu huyo tahira.
 
Unathibitisha ujinga wako.

Samia aliingia mfumuko wa vyakula upo chini,leo je?!!

Ving'amuzi na bando kwneye simu zilikua chini,leo je?!!

Nauli za mabasi zilikua chini,leo je?!!

Bei ya maharage ambayo yanalipwa hapa Tanzania 1kg ilikua shs 1200,Leo ni shs 3200. Price inflation rate yake hapo kiasi gani?!!

Sukari ilikua kilo shs 2800,leo shs 4000-5000, mfumuko asilimia ngapi?!!

Mfuko wa cement ulikua shs 13,000-14,000 ila Leo ni shs 16,000-17,000. Mfumuko asilimia ngapi???

Dola moja ilikua shs 2300,leo je shs ngapi?!! Haujui pia kua dola pamoja na kua shs 2500 na bado sokoni haupatikani?!!

Vicha upumbavu wako kwa kukaa kimya,sio kila mtu ni chawa,naabosi zenu wanatakiwa kuwapima akili kabla ya kuwapa kazi ya uchawaaana hna akili mwisho mnakimbilia kutukana tu!!

Mimi ni CCM,kadi yangu moja ya watu wamwanzo kushiriki kufungua tawi la CCM ughaibuni chini ya Captain Jaka Mwambi,CCM sikuingia kama chawa!!
Unajua maana ya mfumuko wa bei au unaropoka tuu? Ndio maana nasema kujadili masuala ya Uchumi na malayman kama.wewe ni shida sana.

Bei za vitu zilizokuwepo.mwaka.2015 ndio zilikuwepo mwaka 2021?

Thamani ya Dola mwaka 2015 ndio ilikuwepo mwaka 2021?

Ukipata majibu ya hayo maswali Utajua kumbe wewe ni mjinga hujui unachoongea.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom