Hifadhi mazao bila kutia dawa

Sikalengo

Member
Nov 3, 2011
38
18
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.

Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000

Tutakutumia ulipo.

FARMRICH Agro-Enterprises Ltd
Email: farmrichagro@gmail.com
Call: 0755325442

JINSI INAVYOFANYA KAZI
Mifuko hii hairuhusu hewa kuingia Wala kutoka. Ukifungia mazao katika mifuko hii, mazao hutumia hewa yote ya oxygen iliyopo mifukoni na kubakisha Carbondioxide.
Wadudu wanahitaji Oxygen ili waishi. Wakikosa Oxygen hufa ndani ya siku Saba.
ONYO: Usihifadhi mbegu humu, inaweza kufa.

JINSI YA KUTUMIA
Hakikisha mazao yamekauka vema. Safisha mazao yako kwa kuhakikisha Vumbi Na uchafu mwingine vimetolewa.

Weka mazao katika mfuko. Funga mfuko wa kwanza kwa kamba, funga wa pili, funga wa tatu.

Weka mifuko sehemu salama ili isitobolewe Na misumari ama vijiti. Tumia njia zingine kudhibiti wadudu kama panya nje ya mfuko.
ONYO: Usishone mfuko

MUDA WA MATUMIZI
Mfuko huu Bado uko salama mpaka tu pale utakapokua umetoboka.
Waweza kutumia zaidi ya misimu mitatu.

MAELEZO ZAIDI
FARMRICH Agro-Enterprises Limited
farmrichagro@gmail.com
www.farmrich.wordpress.com
0755325442
c7fb1d7e66208d9f0a7c24e6631eda79.jpg


Sent from my Fero A4502 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo mifuko mitatu inayotakiwa kuweka hayo mazao ni lazima iwe ni hiyo hiyo au unachukua miwili ya kawaida na mmoja ambao ndio huo ambao ni maalumu kwa kutunzia?

Sent from my HUAWEI Y541-U02 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni habari njema kwangu, tatizo kuna watu wanasema eti yana haribu rangi ya mahindi japo sina hakika.
Siyo kweli ndugu hiyo mifuko ni mizuri sana ikifuata maelekezo mahindi haya badiliki rangi na pia hayatobolewi na wadudu hata panya ha
 
Tatizo ni bei kama unahifadhi ya biashara

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom