hi kwa wana JF family

fidodido

Member
Jan 5, 2011
85
25
Hi wana JF family wote

ma name is Fidodido, is a new member, tafadhali nipokeeni, ikiwezekana nifanyieni sherehe kunikaribisha, kwa sababu mmepata bonge ya member

yours new member

Fidodido
 
Huwa hatufanyi sherehe humu ndani,ila jua tu kuwa mchango na mawazo yako na utakayoyapata humu ndio itakuwa sherehe yako.Humu haijalishi wewe ni member wa ujazo au uwezo gani hivyo haina haja ya kujisifia zaidi ya kusubiri kusifiwa.
Karibu!
 
Umenena,
Waila KARIBUUUUUUU 'fidodido'
 
Back
Top Bottom