Hi I ni kweli ni lazima kuwa Kila mtu anakipaji?mbona Mimi sikijui kipaji changu?

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Aisee katia kitu kinanichanganya ni Mimi kukosa kipaji?kipaji changu ni Nini mbona Mimi niponipo tu hapa duniani nawasindikiza wenzangu.? ninawezaje kugundua kipaji changu?

Mimi elimu yangu ni ya kawaida tu kwa maana nimeishia kidato Cha nne,napenda kufanya biashara,ujasiliamali na labda kwa mbalii kuondesha gari.

Japokuwa Kuna eneo moja huwa naliweza Sana na pia hufurahia kulifanya, Jambo lenyewe ni ushawishi.Mi ukinituma nikamshawishi mtu labda tufanye biashara Fulani au nimshawishi anunue kitu Fulani basi pasipo na Shaka atanunua tu nawezaga hio Hali kuchomoka ni nadra sana.kikubwa aniskilize tu.

Wapo wafanya kazi wenzangu hushindwaga kuongea na kushawishi wateja hunitumiaga Mimi kuwasawazisha Mambo.

Nitajuaje kipaji changu je? kushawishi mtu ni kipaji?
 
Sasa huoni kama hicho ulichonacho ni kipaji kikubwa .Uwe na shukrani kwa Mungu.
 
Back
Top Bottom