Herman Cain is Done!!

This guy was done even before he started running....Nyumba ndogo zilianza kuibuka kama za Tiger Wood, moja baada ya nyingine!.
 
huwa sielewi kwa nini wanawake huona fahari to go before a mic and expose their past romantic affairs with men- anyone who knows, please let me know!

Hawa huwa wanatafutwa na kulipwa pesa nyingi sana kukubali kuongea kwenye media. Watu wanaoshindana na Hermain Cain kisiasa, most probably wanahusika, au watu ambao hawapendi kuona mweusi anabaki white house, whatever the case, Politics is a dirty game!
 
Back
Top Bottom