Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,231
- Thread starter
- #41
dats y nkasema hapo mwisho heri tubadili tabia. unajua weng tunakimbilia kuwalaumu wengne bila kujiangalia mienendo yetu wenyewe kwanza. jiangalie km yale unayotaka kufanyiwa je we unamfanyia mwenzio? km unamfanyia then yeye hafanyi hapo ruksa kulaumu. pia angalia na watu unaotaka kudate nao co umemwona leo kesho unataka kudate nae bila kumchunguza,hapo utaishia kumlaumu tu kumbe ndo tabia yake!
ila kuna mtu unaweza kuwa naye unaweza kujutia kwa kumkosa,but siku hizi unaza utaachana naye vipi