Heri kuwa mbunge ukapata mil 90

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Watz ni heri kuwa mbunge tu, Maana kama mbunge kwa kipindi hiki amelipwa mil 90 ( Mwananchi Source Today) . Chukua mili 90 mara wabunge 360, Hii nchi Jamani wengine tunaliwa tu.

Kweli ni heri nijiandae kugombea mwaka 2015. Kule ndio kuna matunda hizi kazi zetu za mil 1 kwa mwezi ni sawa na hakuna.

KWELI TUTAFIKA
 
Back
Top Bottom