Help?

Ngumu kushauriwa,kamilisha habar,je we ni mwanaume au mwanamke?unayempenda ulishawah kumwambia?alikujibu nini? Usikute unateseka kwaajili ya mke/mume wa mtu
tiririka
waiting...........
 
wameanza kuja..... zitafuatana pumba hapa mpaka jioni
 
Ngumu kushauriwa,kamilisha habar,je we ni mwanaume au mwanamke?unayempenda ulishawah kumwambia?alikujibu nini? Usikute unateseka kwaajili ya mke/mume wa mtu
tiririka
waiting...........

Mkuu, wabongo tumekua addicted na part two (bongo movies),
Mleta mada kasaau kuandika "To be continued" kwa chini.
 
jalibu kuwa jasiri kwani huwezi kulaumiwa kwa kujalibu...Ila jiandae kupokea jibu lolote!kwanini uendelee kuteseka wakati mdomo unao!
 
Nimejaribu kuisoma thread naona bado iko vague. naomba uweke info za kutosha utasaidika zaidi....

karibu JF!
 
Back
Top Bottom