Help!

P.R.O

Member
Jan 6, 2012
25
1
Jamani m a girl n nina mpenzi na ninampenda sana but hanijali kiukweli mimi ndiye ninayemcal kila cku wakati nasoma,kama mnavyojua hali ya uanafunzi na yeye amepata temporary work ya civil engineering in a certain company..jamani me mwenzenu cwezi kuomba pesa nina aibu so nilimuambia akanitel hawezi kujua if nina shida bila kumuomba pesa..nifanyeje?
 
kusoma hujui,hata picha tu????

:focus: kuna njia nyingi za kuomba hela indirect,uneza ukamchunia siku nzima akikuuliza vip unamwambia nlikua sina vocha ka ana akili atajishughulisha tu na ukiona kapotezea ujue keshalewa hako ka tempo.
 
Uyo jamaa yako atakua careless. Kwa mwanaume ka unae m2 unaempenda real na mkawa wazi kwenye mambo yenu, lazima aweze kuona wen una shida b4 hujasema. Embu mpe yo fully environment u live atambue uwezekano wako wa kupata hela upo down so he can pick u up. Bt ka una wazazi waambie 2 direct jamaa awe smthn extra bt not 2 depend much.
 
acha mambo ya kale. We kama unashida halafu unapiga kimya anataka jamaa aote kuwa unahitaji msaada?
 
Chukulia mfano huna boyfriend, ungekuwa na shida ungemuomba nani pesa?au ungefanyaje?
Hata kama utamuomba pesa, uombe ukiwa na shida kweli..na isiwe mazoea!

Kuhusu mawasiliano na kutokujali kama wewe, nadhani ungeangalia movie inaitwa ''Two Can Play That Game'.. utajifunza mengi..!
Siyo lazima umpigie, unaweza kupunguza mawasiliano hata text moja kwa siku..thamini uthaminiwe best!!
 
Nawashukuru wote mlionipa mawazo tofauti,nitayafanyia kazi..ndio maana niliamua kujiunga nanyi.
 
Chukulia mfano huna boyfriend, ungekuwa na shida ungemuomba nani pesa?au ungefanyaje?
Hata kama utamuomba pesa, uombe ukiwa na shida kweli..na isiwe mazoea!

Kuhusu mawasiliano na kutokujali kama wewe, nadhani ungeangalia movie inaitwa ''Two Can Play That Game'.. utajifunza mengi..!
Siyo lazima umpigie, unaweza kupunguza mawasiliano hata text moja kwa siku..thamini uthaminiwe best!!
thanx best kwa ushauri wako!
 
Jamani m a girl n nina mpenzi na ninampenda sana but hanijali kiukweli mimi ndiye ninayemcal kila cku wakati nasoma,kama mnavyojua hali ya uanafunzi na yeye amepata temporary work ya civil engineering in a certain company..jamani me mwenzenu cwezi kuomba pesa nina aibu so nilimuambia akanitel hawezi kujua if nina shida bila kumuomba pesa..nifanyeje?

Hivi nyie watoto wa kike mkoje? ina maana ukiwa na Boyfriend lazima awe anakupa hela, ina maana unamuuzia uhusiano au? hebu acheni mambo ya kijinga kama mnafanyabiashara declare terms mapema ili kabla hamjaanza uhusiano ijulikake kama bond ni hela na sio mapenzi.
Ndio maana mnawasababishia vijana wakiume kuwa players, ukimpiga kirungu anahama kwa hiyo mwendo ni kung'ata na kukimbia.

kama ukiwa na shida kiukweli hapo sawa sio kulalamika ooh hupewi hela ...... unauza???????????

sorry kama nimekukwaza
 
Back
Top Bottom