help about zoom!!

jumaa24

Member
Oct 11, 2011
97
13
hivi isu ya job vacancy inapowekwa zoom baada ya kama siku kadhaa unakuta ile list imetolewa maybe hata deadline ya ile vacancy haijapita ina maana gani!!
 
Hawa jamaa nilishawaona kuwa ni LongO sana!!!. Nilishaweka mitego kadhaa ili nione kama kweli ni GENUINE,matokeo yake nimegundua kuwa si lolote.
Just put the best CV everrr....utaona ni watu kimya then Cm yao ile ya tIGO Mhhhhhhhhhh......Just try sending CV maybe wanasaidia watu wengine kwa kutumia CV za watu.
 
ur true m ni muanga!
 
Back
Top Bottom