I'm a new member, nipeni taratibu za hapa inakuwaje? member wakoje hapa?
Hapa wako watu wa kila aina, Kama unavyoona wanaita "The home of GREAT thinker" ila kuna hadi walioishiwa na upeo.Karibu KITI... Unatumia kinywaji gani
Ni mwenyeji wa wapiI'm a new member, nipeni taratibu za hapa inakuwaje? member wakoje hapa?
mwenyeji wa moshi ila nipo darNi mwenyeji wa wapi
Moshi ni kubwa kama ni Rombo ukihitaji msaada tupomwenyeji wa moshi ila nipo dar
Kwaio wew ni mwanamke wa moshi au dar slam?mwenyeji wa moshi ila nipo dar
nashukuru sanaMoshi ni kubwa kama ni Rombo ukihitaji msaada tupo
kwangu ni moshi ila nipo dar kikaziKwaio wew ni mwanamke wa moshi au dar slam?
Maana tunajua tatizo la wanawake wa Rombonashukuru sana
mhhh, sio wote wenye tatizo hilo jamaniiiMaana tunajua tatizo la wanawake wa Rombo