Hello November

totoadela

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
349
1,074
Tunamshukuru Mungu kwa kutupa Uhai na Afya tele kuuona mwezi mpya, nakuombea kwa Mungu Mwezi huu wa 11 ukawe ni mwezi wa Baraka tele.

Yalioshindikana kuyafanikisha ukafanikishe, akupe Kibali na Neema yakushinda majaribu ya kila aina. Kabla Mwaka huu haujaisha ukaone mafanikio katika Jina lipitalo majina yote Jehovah Shammah, Amen.
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutupa Uhai na Afya tele kuuona mwezi mpya, Nakuombea kwa Mungu Mwezi huu wa 11 ukawe ni mwezi wa Baraka tele.
Yalioshindikana kuyafanikisha ukafanikishe, Akupe Kibali na Neema yakushinda majaribu ya kila aina.. Kabla Mwaka huu haujaisha ukaone mafanikio katika Jina Lipitalo majina yote Jehovah Shammah..amen
Amen 🙏
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutupa Uhai na Afya tele kuuona mwezi mpya, nakuombea kwa Mungu Mwezi huu wa 11 ukawe ni mwezi wa Baraka tele.

Yalioshindikana kuyafanikisha ukafanikishe, akupe Kibali na Neema yakushinda majaribu ya kila aina. Kabla Mwaka huu haujaisha ukaone mafanikio katika Jina lipitalo majina yote Jehovah Shammah, Amen.

Amen
 
November to remember
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom