Hello jf, naomba mnipoke nimetoka mbali

puchu

New Member
Sep 3, 2012
1
0
Social network niliyokuwapo nimeiacha na kuja hapa jamiiforums 4rever
thanks
 
puchu karibu sana jamvini. Kuna chama cha wapiga puchu humu ndani, usikose kujiunga.
 
Last edited by a moderator:
Kilikuwa kinaongozwa na Dark City na Asprin ila baada ya babu DC kuzeeka na asprin kupata meko wakawaachia mtotowamjini na mtotosix.
Karibu na ujisikie upo nyumbani.

:biggrin1: mmh mi fujo za asprin siziwezi..sijui wanatumiaga mizizi gani!! Ila huyo mgeni kama ni mgeni kweli sio kwamba yuko kwenye BAN na ID yake nyingine unakaribishwa ulikua wapi siku zote...mambo yote ni hapa
 
Social network niliyokuwapo nimeiacha na kuja hapa jamiiforums 4rever
thanks


Mbona unatoa taarifa nusu nusu puchu??

Kwa vile umeamua kusema, basi mwaga mboga hapa kwani inaonekana jamaa walishamwaga ugali!!


Karibu lakini....naamini utakuwa na wewe ni mjukuu mtiifu wa Babu...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom