Hela za walipa kodi na watoto wa mafisadi

cha ajabu nini kwenye hizo picha? mbona sioni cha kutisha nathani wanakunywa wengine maji wengine champagne mwingine yuko ndani ya ndege in a cabin vitu ambavyo kwa umri wao ni vya maana according to them! kwanini usishangae nyumba ya Riz1 billioni mbili na hana bishara na kaanza kazi ya kuajiriwa hivi majuzi tu!
 
Macheckbob tu hakuna urongo ulioandikwa na wachangiaji kule, madogo kama watatu nawajua ni wako vyuoni europe na malaysia:dance:
 
Back
Top Bottom