Hela hii..!!!

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
419364_10150544333167740_729142739_9120816_1357807814_n.jpg
 
Wajameni mi napendaga kuigiza kama hivi, hivi wapi vileeeee tunajiandikisha kuigiza namna hii? ili kesho nitie timu... kuhusu malipo wala hamna haja, najitolea tu kuigiza, napendaga sana hizi staili za kuigiza... ila huyu dada nanihii awepo au watu kama yeye...
 
iliwekwa na figganigga kwenye thread ya bishanga. leta vitu vipya mkuu.
 
Duh................amsalimika kweli huyu?? nadhani hii si KUIGIZA
 
Back
Top Bottom