Hekari zaidi ya 10 za mazao wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro zimeharibiwa na jeshi la Polisi

Wananchi wa jimbo la siha wamelalamikia kitendo cha polisi kung'oa mazao yao katika eneo lililokuwa na mgogoro ilihali walishakubaliana msimu huu wananchi hao waachwe wavune mazao hayo. Eneo hilo linasemekana kuwa ni sehemu ya jeshi la polisi la kufanyia mazoezi. Akiongea kutoka nyumbani kwake akiwa amekaa kwenye kochi huku akionekana kuchoka mno mbunge mteule ws Siha mh Mollel amelaani wananchi wake kuharibiwa mazao yao ya mahindi Source ITV habari!
 
Eneo lina mgogoro vp wakati hilo eneo ni la polisi na wanafanya maowezi.. Unajua watanzani tuna wamatatizo sana tunapenda kuvunja sheria then baada ya kuvunja sheria tunasema busara itumike na huwa tunachukulia ya kuwa hata tukivunja sheria tutatafuta sympathy na hatutufanywa kitu chochote..Tujiulize hilo aneo wananchi wanajua ya kuwa siyo lao kwani nini wameenda kulima? na kitendo cha kukubaliana mpaka wavune ilikuwa ni kosa kwani hapo ni kama unawapa zawadi ya kuwa walichokifanya ni sawa na polisi wasifanye mazowezi yao mpaka wavune.. Hii tabia ya kuziona mali za serikali tunaweza kuzitumia wakati wowote bila ya ku face consequences ndiyo inayotufanya watanzani kuwa wezi wa mali za umm na kuzifisidi and ndiyo maana watu wanavamia maenea ya barabara hawaambiwi kitu then baadae serikali inabidi iwalipe fidia au watu wanaanza kulia kulia once wasipolipwa fidia.. au utakuta wafugaji wanawapeleka wanyama wao kwenye mazao ya wakulima bila ya kujali kama mkulima ametumia nguvu zake nyingi sana kulama pale lakini kutokana na kutoheshimu kwao sheria na kutoiheshimu mali ya mtu mwengine anapeleka wanyama then hakamatwi busara inatumika kuepusha mgogoro.. lakini mfugaji ameshafanikiwa kuwalisha wanyama huku mkulima anakufa masikini
kwa hivyo mimi nawapongeza jeshi la polisi kuyang'oa mazao yao kwani itatoa funzo ya kuwa kama eneo si lako hata likiwa tupu huna haki ya kulitumia
 
Mbo a umeandika sana kitu ambacho ungeandika sentensi 2 tu.

Kama walikubaliana hivyo wewe unagoma au kukataa makubaliano yao kama nani.

Mkiichagua CCM mtapata maendeleo
 
Mimi siajwahi luchagua CCM lakini sikubaliani na kitendo cha ku glorify uvunjifu wa sheria.. maendeleo yanaenda sambamba na kuheshimu sheria za nchi na taratibu zilizowekwa. Ulikuwa ni uzembe kwa jeshi la polisi kukubaliana nao at first place
 
Ukimsikiliza yule askari aliyehojiwa kwa makini utajua tatizo si raia bali .....
 
Kisheria tunaita "kuingia kwa jinai" hao wakulima wanapenda lawama za kijinga wanajua ilo eneo ni mali ya polisi ila wanajitoa ufahamu wanaenda kulima, Polisi safi tu mlivyo fanya km mbwai na iwe mbwai.
Lakini wakati wa uchaguzi mdogo polepole alisema wanashughulikia eneo hilo ili wapewe wananchi na polisi wapewe eneo lingine
 
Wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Siha, kwa Mbembwe mtu aitwa H. Polepole aliwaahidi wana Siha endapo watachagua mgombea wa chama chake watapewa maeneo yote yanayotumiwa na Jeshi la Polisi kwa mafunzo ya vitendo huko Kilele Pori. Habari za uhakika toka Siha zinasema Jeshi la Polisi limeharibu mazao ya wana nchi katika eneo hilo baada ya kugundulika yamepandwa katika eneo la mafunzo kwa vitendo kwa Jeshi hilo.
IMG-20180329-WA0009.jpeg
 
Mwananchi ni kama mwanamke tu wakati wa kampeni anarubuniwa na maneno tu mixer vijizawadi vya hapa na pale, akishakaa sawa ndio namba anaisoma
 
uyo Mgombea wa ccm aliiba kura wala akushinda ...sasa kinachofanyika nikiwakomoa wananchi.
 
Back
Top Bottom