Heche Manchare Saguta wa NEMC ni Mzalendo wa kweli

dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,305
2,093
Tanzania imebahatika kuwa na vijana wazalendo wanaosimamia sheria bila kujali aliyeivunja ni nani.

Hatuwezi kulizungumzia baraza la usimamizi wa mazingira NEMC bila kumtaja kijana mzalendo wa kweli mwanasheria wa NEMC Bwana Heche manchare.

Pamoja na zoezi zuri la bomoaboa inayoendele nchi nzima il kupisha maeneo ya wazi na maeneo hatarishi kwa wakazi wa mabondeni lakini Ndugu Heche pia ameagusa maeneo ambayo wengi walidhani hayataguswa kwa sababu ya mtu fulani ktk siasa/serikali au jamii anayoitumikia.

Hongera sana ndugu Manchare na watanzania tunakuunga mkono.

Pamoja na jitiada nyingi ulizofanya za kutaka baadhi ya viwanda virekebishe matiririko yao ya maji taka kutoathiri maeneo ya makazi ya watu wanaozunguka eneo hilo bd tatizo hili ni kubwa tunakuomba ukaze buti.

Tunajua kazi iliyopo mbele yako ni kubwa sana watanzania tunakuunga mkono katika kutumbua hayo majipu ili kulinda ardhi yetu na vyanzo vya maji na fukwe zetu nzuri Mwenyezi Mungu alizotupatia. Usirudi nyuma huna lingine ila kazi tu.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na pongezi hizo. Inapaswa tuhoji, walikuwa wapi hadi watu wanajenga na kuanzisha makazi ? Why leo ?
 
Hakuja sababu ya kumpongeza mtu aliepewa muongozo, huyu jamaa angefanya haya kipindi kile cha JK akapbomoa waliojenga kwenye fukwe za bahari angestahili pongezi, any way zile taka zilizorundikwa njiani baada ya kusafisha miji siku ya uhuru mbona hazi zolewi au zina subiri siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa chama cha mapinduzi iwe siku ya kuzoa taka Tanzania? mauza uza tu.
 
Kuna

Kuna kitu kinaitwa separation of powers sio kwa kuwa unasikia Nemc ni baraza la usimamizi wa mazingira unadhani ni kila ktu inafanywa hizi hizo kodi za usafi wanakusanya Nemc au halmashauri usika.usitake wapakazia watu vitu kwa uzembe wa watu wengine
 
Tanzania imebahatika kuwa na vijana wazalendo wanaosimamia sheria bila kujali aliyeivunja ni nani.

Hatuwezi kulizungumzia baraza la usimamizi wa mazingira NEMC bila kumtaja kijana mzalendo wa kweli mwanasheria wa NEMC Bwana Heche manchare.

Pamoja na zoezi zuri la bomoaboa inayoendele nchi nzima il kupisha maeneo ya
wazi na maeneo hatarishi kwa.
Wakazi wa mabondeni lakini
Ndugu Heche pia ameagusa
maeneo ambayo wengi walidhani hayataguswa kwa sababu ya mtu
fulani ktk siasa/serikali au jamii anayoitumikia.

Hongera sana ndugu Manchare na watanzania tunakuunga mkono.

Pamoja na jitiada nyingi ulizofanya za kutaka baadhi ya viwanda virekebishe matiririko yao ya maji taka kutoathiri maeneo ya makazi ya watu wanaozunguka eneo hilo bd tatizo hili ni kubwa tunakuomba ukaze buti.

Tunajua kazi iliyopo mbele yako ni kubwa sana watanzania tunakuunga mkono katika kutumbua hayo majipu ili kulinda ardhi yetu na vyanzo vya maji na fukwe zetu nzuri Mwenyezi Mungu alizotupatia. Usirudi nyuma huna lingine ila kazi tu.
Ndugu uwezo wako wa kuelewa wa mambo ni mdogo sana! Unaelewa kazi ya mwanasheria katika taasisi yeyote ile? Huyo heche anayo mamlaka ya Kutoa maamuzi au ni kutoelewa majukumu yake ni yapi?
 
Pamoja na hayo yote huyu jamaa amekuwa mstari wa mbele kuwaelimisha na kusimamia sheria toka zamani! Huyu jamaa ni mzalendo kweli kweli.
 
Y
Ndugu uwezo wako wa kuelewa wa mambo ni mdogo sana! Unaelewa kazi ya mwanasheria katika taasisi yeyote ile? Huyo heche anayo mamlaka ya Kutoa maamuzi au ni kutoelewa majukumu yake ni yapi?
Yaani wewe ndo mzito mno mimi nimekueleza uzalendo wa mtu unakuja na mambo mengine na kumbuka kila idara na taasisi za serikali zina namna walivyojipanga leo ukimessupp ktk kituo cha mafuta ewura wanatuma petroleum inspector ndo mwenye majukumu sasa hapo uzalendo ndo unatokea either afanye kazi kwa manufaa ya nchi au achukue mlungula .Naongelea mtu kma mtu ni watu wangapi wamepewa nafasi nyeti na matokeo yake mmeyaona eg masamaki wa TRA ingawa mahakama haijathibitisha lakini tayari ni doa na watu wanasema kwa kuwa wanamjua.usipinge kila kt kama mtu anafanya kazi lazima apongezwe msiwe wanafiki bana
 
Tanzania imebahatika kuwa na vijana wazalendo wanaosimamia sheria bila kujali aliyeivunja ni nani.

Hatuwezi kulizungumzia baraza la usimamizi wa mazingira NEMC bila kumtaja kijana mzalendo wa kweli mwanasheria wa NEMC Bwana Heche manchare.

Pamoja na zoezi zuri la bomoaboa inayoendele nchi nzima il kupisha maeneo ya wazi na maeneo hatarishi kwa wakazi wa mabondeni lakini Ndugu Heche pia ameagusa maeneo ambayo wengi walidhani hayataguswa kwa sababu ya mtu fulani ktk siasa/serikali au jamii anayoitumikia.

Hongera sana ndugu Manchare na watanzania tunakuunga mkono.

Pamoja na jitiada nyingi ulizofanya za kutaka baadhi ya viwanda virekebishe matiririko yao ya maji taka kutoathiri maeneo ya makazi ya watu wanaozunguka eneo hilo bd tatizo hili ni kubwa tunakuomba ukaze buti.

Tunajua kazi iliyopo mbele yako ni kubwa sana watanzania tunakuunga mkono katika kutumbua hayo majipu ili kulinda ardhi yetu na vyanzo vya maji na fukwe zetu nzuri Mwenyezi Mungu alizotupatia. Usirudi nyuma huna lingine ila kazi tu.

Naona unajaribu kumsafisha, huyo bwana amepiga pesa sana katika utoaji wa vibali kwa wawekezaji, atafikiwa muda si mrefu, namfahamu vizuri sana
 
Vimemo toka
Hakuja sababu ya kumpongeza mtu aliepewa muongozo, huyu jamaa angefanya haya kipindi kile cha JK akapbomoa waliojenga kwenye fukwe za bahari angestahili pongezi, any way zile taka zilizorundikwa njiani baada ya kusafisha miji siku ya uhuru mbona hazi zolewi au zina subiri siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa chama cha mapinduzi iwe siku ya kuzoa taka Tanzania? mauza uza tu.
Vimemo toka ikulu ilikua ni kikwazo katika utekelezaji wa sheria nchini.Kamuulize Hosea na Feleshi
 
Back
Top Bottom