Hebu tuitazame ZESCO ya Zambia na TANESCO ya Tanzania kisha tujiulize what went wrong

Tanzania mambo inayoweza kuyafanya kwa ufanisi na yakakamilika kwa Asilimia 💯 ni

1.Ngono.
2.Ulevi
3.Uongo
4.Chuki
5.Wizi
6.Ufisadi

Haya mambo mtanzania atafanya kwa ukamilifu kabisa pasipo shaka lakini si mambo ya maendeleo ya Taifa
NAKAZIA 📌🔨

Watanzania wamelaanika.
 
1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.

2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.

3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.

4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.

5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.

6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.

7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.

8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.

9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?

Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.

Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Makamba kaacha legacy ya kununua software India kwa billion sabini
 
Tofauti ya Zambia na Tanzania ni kwamba Zambia walishaachana na chama cha kimapinduzi, wakapita katika development tofauti na tz tumeng'ang'ania chama chenye sera za karne ya 19, ambazo kwa zaidi ya nusu karne zimeprove failure.
 
1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.

2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.

3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.

4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.

5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.

6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.

7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.

8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.

9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?

Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.

Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Unaizungumzia Zesco hiyo iliochukuliwa na Wachina au Zesco nyingine?
 
Tatizo ni kuaminishwa kwamba sisi ni masikini, na sisi tunapokea hivyo kuanzia kwa wasimamizi hadi kwa mwananchi wa kawaida, kibaya zaidi umasikini huu unaopandikizwa vichwani mwetu unabeba fikra na akili zote za kufikiria kufanya jambo jipya hasa kwa wasimamizi wetu tuliowapa dhamana.
Ebu tufikiri kidogo: kwa nini daktari mara nyingi hawezi kumwambia mgonjwa kwamba wewe utakufa tu hata kama anaona dalili hizo? Hiyo ni moja, mbili hakuna nia ya dhati ya mtu kuweza kujiuliza kwa nini miaka yote iwe shida hiyohiyo bado unajiita nina wataalamu wazuri.
Mfano tumekuwa watu wa kubadili majina tu Lakini maana ni ileile.Nyoka ni nyoka tu, kifutu ,chatu,swira,cobra Lakini ni nyoka tu.
Sasa fikiria huko nyuma tuliyopitia escrow,richmond, dowans,iptl n.k.
Jiulize kidogo tu hivi huo umeme wa tanzania tuna tatizo gani mpaka kushindikana kiasi hiki?
Je hakuna mtu au watu wanaofahamu kitaalamu mambo haya?
Kiongozi anakabidhiwa ofisi anaambiwa tatizo ni letu site anakaa miezi saba bado liko palepale Lakini yeye kapata chake,anakwenda ofisi nyingine eti mgeni anafundishwa na yule aliyetolewa kwa kushindwa , unatarajia kipya?
Tunahitaji kutoa akili zetu nje ya box.
 
1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.

2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.

3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.

4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.

5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.

6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.

7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.

8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.

9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?

Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.

Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Unapofanya uongo unakuwa unataka kumfurahisha nani na Ili iweje?

Ukiacha miradi ya size ya kati Kuna msululu wa miradi mikubwa ya umeme ambayo itaanza utekelezwaji wake baada ya bwawa kukamilika.

Mfano miradi ya maji mto Ruhudji,

Unaposena sena Serikali Haina Mpango wowote wa vyanzo vinginevyo una maanisha nini?

Yaani Kwa nini unadanganya na Ili iwaje? Kwamba hujui baada ya bwawa kukamilika pesa zitaelwkezwa kwenye kujenga vyanzo vingine vya umeme ambavyo vimeanishwa kama ifuatavyo?

Mto Ruhudji mw 358
Mto Rumakali mw 222
Mto Vikonge mw 321
Mto malagarasi mw 49.5
Mto Kakono mw 87.8
Gas Asilimia Mtwara mw 300
Gas Asilimia Kinyerezi III mw 450
Gas Asilimia Mkuranga& Tegeta 150 mw
Umeme jua 150mw Shinyanga

Hapo sijataja miradi ya joto Ardhi yenye mw 200 .Acheni upotoshaji usio na msingi.
 
Kujua wewe na hao unaowatetea mna upungufu wa akili ni kuendelea kupanga kuwa na vyanzo vya umeme unaotokana na maji, wakati tatizo lililopo sasa la umeme linatokana na mabadiliko ya tabia nchi UHABA WA MVUA sasa unaendeleaje kuweka vyanzo vingine kutoka kwenye tatizo hilo hilo??? makaa ya mawe yaliyopo yamewekwa hapa yafanye nini?? upepo...nk
 
Wewe utakuwa ni mbumbumbu,hoja Yako uliyojenga hapo umetolea mfano Zesco ambao 80% ni vyanzo vya maji Sasa sijui unaongea nini.

Pili vyanzo vya Umeme vikiwa vingi ,hakuna tena upungufu utatokea Kwa sababu umeme utakuwa mwingi kuliko matumizi.

Mwisho kwenye Mpango umeona ni vyanzo vya maji pekee au umekurupuka kwa kukosa hoja baada kuumbuliwa? Kima wewe
 
Kwenye umeme hatuwawezi Zambia. Wako mbali mno. Mwaka jana ndo walikuwa na mgawo ambao waliulaani sana.. mgawo wa masaa 6 kwa siku 🤣🤣🤣. Kuwalaumu Makamba na Maharage ni kupoteza muda. Ishu ya umeme ina historia ndefu sana ya upigaji. Tangu 1994 ni upigaji tu kwenye umeme. Hela zinatumika kulipa mafisadi badala ya kufanyia maendeleo. ZESCO hawana mambo mengi ya kifisadi.
 
1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.

2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.

3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.

4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.

5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.

6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.

7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.

8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.

9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?

Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.

Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Kwanza ni ni ujinga wetu kuacha makaa ya mawe kuzalisha umeme. Nchi za magharibi wanavunja mioyo nchi changa wasiendeleze mkaa kuzalisha umeme eti kuhifadhi mazingira. Wenyewe wametumia makaa kuzalisha umeme kwa miaka mingi bila kujali mazingira na hadi sasa uchina hawamsikilizi mtu wanazalisha umeme kiasi kikubwa kwa mkaa.
Mkaa ni mali ila kwa ujinga na ukasuku tunaacha kuutumia kuzalisha umeme kwa kua eti wazungu wanapiga kelele kuhusu mazingira. Sisi hatujaharibu mazingira yetu kwa kiwango cha eti tuache matumizi ya mkaa kuzalisha umeme.
Mkiongozwa na aina ya watu wenye fikira kama kina januari na maharage aliyekua tanesco lazima waamini na kufuata chochote wanasema wazungu.
 
Back
Top Bottom