FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 93,145
- 109,591
Hahaha! Hivi uchi maana yake nini, tuanzie hapo kwanza.
Asiyejuwa maana haambiwi maana.
Hahaha! Hivi uchi maana yake nini, tuanzie hapo kwanza.
Kiswahili kilianzia TanzaniaKindly tell me what that word means. Google translate doesnt recognize it.
Thanx in advance.
kwa upande mmoja inaweza ikatusaidia kusifiwa kwake maana tunasumbuliwa manyumbani mwanamke hawezi kutoka out mpaka ajipake wanayojipakaga, na hii yote ilitokana na uzuri ukisifiwa na mzungu huyohuyo. Mie nimeona dada ni mzuri na amesifiwa kwa alivyotoka kawaida sana na hao hao wazungu. sijui kwa upande wako, labda hujawahi cheleweshwa ofisini sababu mtu poda haijamkaa sawa. nawakati mwingine hayo wanayojipaka kichwani au usoni ndio yanawaharibu nyuso.....ila mpaka aelewe ni kazi kweliKwahiyo Wewe wakisifia wazungu bhasi unaona rahaaa,da tunasafari ndefu Kama taifa
Sio kwa ukomavu huo kha! Wazungu ukomavu ndio ubeauty!
Uwe na kigimbi, misuli umekakamaa kama serena Williams ndo unaitwa sexy
Kila mnavyojitembeza uchi ndivyo watazidi kuwasifia.
Biashara ni matangazo.
Msojijuwa.
You call this naked?Hata mimi sijapenda hii tabia ya kutembea uchi!! Yaani mwanamke lazima awe uchi ndio iwe yeye ni sexy!! Argh! Inaudhi hii!!
Kuiga wazunbgu ni jambo la ovyo sana!
You call this naked?
Nope, hatujawaiga wazungu, walitupata uchi when they first came to Africa, kwaivyo pengine hawa ndio wanatuiga.
wote sio wa dini ile... waambie basi kamswaki kipindi hiki!Kila mnavyojitembeza uchi ndivyo watazidi kuwasifia.
Biashara ni matangazo.
Msojijuwa.
Na mwezi huu mtukufu ukitembea uchi unasifiwa zaidi, sijui hata kwa nini!Kila mnavyojitembeza uchi ndivyo watazidi kuwasifia.
Biashara ni matangazo.
Msojijuwa.
Maneno KUNTU hayo Shangazi FAIZA...Kila mnavyojitembeza uchi ndivyo watazidi kuwasifia.
Biashara ni matangazo.
Msojijuwa.
Msiojijuwa=msiojijuaKila mnavyojitembeza uchi ndivyo watazidi kuwasifia.
Biashara ni matangazo.
Msojijuwa.
Uchi my foot. Kabla mzungu aje nguo zilikua wapi! Na kabla mwarabu Na mzungu ashuke Na dini zao za utumwa si tulikua tumetulia Na mungu wetu Na kuomba kiafrika safi Bila hawa wavamizi!!!!?