alen key - alenki...
Shock absorber-shokomzoba
Nawe umechapia. Siyo flyng pen bali ni frying pen. Kwetu ni frampen.
Charles-Chalesi. South africa - Sauzi Afrika. Wrong-Long. Right-laiti Kiswahili ndio pia kilifanya iwe haya Petrol station za Kwanza Tanzania Shell na Total kila kituo cha mafuta imekuwa Shell-Sheli na Enzi za Ukoloni Pwani(bandarini) zilikuwa Meli zikileta barua za wazungu sasa waengereza wakiona wanasema Oh mail Mail Watumwa toka kipindi hiko ikawa Ship wanaziita Meli Sawa na Maeneo Mengi Dar-es-salaam yanamajina ya wazaramo Mwana-nyamala(mtoto nyamaza) hasa kule Msasani, Mikoroshini na Masaki inatokana na tabia za watu kubatiza Msasani kulikuwa na Musa Hassan ss Wamakonde walivyofika kila mtu kwa Mucha achani watu ili wasafishe ndio ikawa Msasani. Zanzibar Market ikawa markiti hiyo walijitahidi waengereza walikoroga neno Market wakaisikia Markiti.
Rubber band, tunaita Barabendi. Goods train, tunaita Gusi. Check line, tunaita Chekeleni. Hospital tunaita sbitali. Sindano tunaita shindano. Na wengine mwageni re-mix za kwenu.
i guess u're wrong too,it's supposed to be "frying pan"