Heavy new year

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,139
12,286
Wakati waungwana tukiwa kando kuangalia kina cha maji ghafla yanaibuka mambo mazito ambayo watawala wetu wamekaa kimya kiasi wananchi tunaanza kuongozwa na utashi binafsi na ndiyo kiini hasa cha kuibua hoja hii...Umeme kupaa juu ambao nao ni wamashaka,suala la Dowans kupigwa dana dana ilihali kila kila mwana mwema keshasema neno kulaani utapeli huu wa wazi wazi, Petroli kupanda bei pamoja na udhibiti mbovu usiozingatia ubora na viwango,Kodi za Nyumba kupaa,Vyakula,vinywaji,Starehe kupanda gharama,kwenye dini sadaka zinapaa,mahari kupanda,Ada za shule utadhani unanunua shule na sasa dola kuinuka vibaya dhidi ya wananchi bado huu tuuite Happy au Ni Heavy New Year
 
Back
Top Bottom