He steal our money without shame

Senene za lumumba hazitauelewa huu Uzi kama ilivyo kwa mwenyekiti wao Jizi la trilioni 1.5
 
Difficult to understand Sir

1.5T is the name of the game
you never saw this coming,did you?
What is the name of the player?
On the same note does CAG report mention the allegedly imaginary person?

Apart from that I will support any indictment for such a person if concrete evidence is produced.
Otherwise let's us treat it as a report from unknown people.
And we leave it at that.
 
Akiongea utadhani mzalendo na ana uchungu kumbe msanii tu
 
Senene za lumumba hazitauelewa huu Uzi kama ilivyo kwa mwenyekiti wao Jizi la trilioni 1.5
Kaka wewe umeuelewa huu uzi? Angeanda kiingereza rahisi wengine tungemuelewa sababu katumia kiingereza cha Malkia kile kigumu sana watakaomuelewa ni watu kama ninyi wenye Phd ya lugha ya Kiingereza
 
Ukitaka kuonyesha umahili wako wa jambo angalao anza na ufasaha wa lugha unayotumia.
Mbona Lugha saafi hii ya huyu msomi Nguli? Hii lugha aliyoitumia inatumiwa na wachache sana wataalam wa lugha kama mwandishi wa makala. Lugha ka ya watangazaji mpira....me think so
 
yaaani siku zote umdhaniaye siye ndio mwenyeweeee. kachota bila aibu. ukikumbuka stori za alivyoingia madarakani ooh watu wataishi kama mashetani,kawatumbua weee tukapata matumaini rais dictator tunaye tuliokuwa tunamtafuta tumempata,doooohh nakulilia Tanzania nchi yangu.....:(:(:(

Rebecca hivi unakumbuka mjadala wetu eeeh ???
Ulikuwa mkali kweli kweli pale nilipojaribu kuongea na wewe kuhusu Raisi Magufuli.
Mtu anayevunja Sheria za nchi kwa maksudi tena vile vitu vya msingi hawezi kuwa na nia njema kabisa.
Mimi binafsi mwanzoni nilimuunga mkono Raisi Magufuli lakini niliacha tu pale tu alipoanza kuvunja Katiba ya nchi na kudharau sheria za nchi. Nikajua kabisa kwamba mtu kama huyu leo atawafanyia wengine vibaya lakini kesho itakuwa zamu yangu, hivyo nikachukua tahadhari mapema sana. Hapa ndipo nakumubuka msemo wa Bwana Yesu kwa Mafarisayo kwamba mna macho lakini hamuoni na mna masikio lakini hamsikii ili ghadhabu yenu iwe kubwa na ya aibu.

NB: Tatizo la Afrika ni Muafrika mwenyewe,
Hakuna mwafrika hakuna matatizo hivyo tusilalamike sana wakati Magufuli tulimfurahia mwanzoni.
 
Back
Top Bottom