Elections 2010 He is the man for real change VOTE FOR CHANGE vote.........

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
302
SLAA.jpg
........................................
SLAA.jpg


CURICULUM VITAE(BIODATA)
Full Name: Willibord Peter Slaa.
Date and Place of Birth: 29.10.1948,Kwermusl,Mbulu,Tanzania.
EDUCATION:
PRIMARY: 1958-1961 Kwermusl
1962-1965 Karatu Middle School.
SECONDARY: 1966-1969 Dunguyi Seminary
1970-1971 Itaga Seminary
PHILOSOPHY:
1972-1973 Kibosho Seminary
THEOLOGY:
1974-1977 Kipalapala Seminary
1974-1976 Makerere University,Diploma,Theology
HIGHER EDUCATION:
1979-1981 Pontifical Urba University,Rome,JCD(summa cum laude)
1980-1980 ADV.Diploma-Socio-Political Studies,Koln,Germany(KAF)
1981-1981 St.Thomas Aquinas University,Rome,AD.Diploma Rural Development
1985-1985 London COR.College, Principles and Practice of Management Certificate.
WORK EXPERIENCE:
2000-Todate Member of Parliament(MP),Karatu
1995-2000 Member of Parliament(MP),Karatu.
1991-1995 Executive Director,Tanzania Society for The Blind.
1986-1991 Secretary General,Tanzania Episcopal Conference(TEC)
1982-1986 Development Director,Diocese of Mbulu
1982-1986 Vicar General,Diocese of Mbulu
1977-1979 Development Director,Diocese of Mbulu (Catholic Priest 1977-1991)
MEMBERSHIP IN LOCAL AND INTERNATIONAL BODIES
2006-Todate: Deputy Leader,Official Opposition, Parliament of Tanzania
2000- Todate: Vice President, Forum of African Parliamentarians on Education( FAPED)
2004-Todate: Secretary General,CHADEMA.
2001-Todate: Member,Special Education Committee,MOEC/SADC.
2000-Todate: Shadow Minister,Legal and Constitutional Affairs.
1998-2004 Vice Chairman,CHADEMA
1998-2003 Chairman, Inter-Parliamentary Forum (SADC-PF)
1996-2000 Member,ACP-EU Joint Parliamentary Assembly
1994-Todate: Chairman,Comprehensive Community Based Rehabilitation Tanzania (CCBRT)
1992-1995 Secretart,National Prevention of Blindness Programs,MOH
1992-1995 Director,SLS General Trading Co.Ltd
INTERNATIONAL CONFERENCES
Attended numerous national and international conferences and workshops,presented papers and facilitated in a number of them including,IPU,SADC-PF and CPA organized workshops and conferences.
Attended numerous short courses and seminars both within and outside the country.

VOTE FOR CHANGE VOTE FOR SLAA VOTE CHADEMA

2010 HATUDANGANYIKI
 
Kira la Kheri Dr Slaa! Kampeni hii iwe iwe ya mabadiliko, iwaagazie watanzania wafungue macho na haimaye mabadiliko ya kweli yaweze kuja!
Mungu ibariki Tanzania
 
Kumbe kweli Kikwete na CCM pamoja hawaitakii mema nchi hii kama kweli wamesimama eti kupingana na D. Slaa. Kwa vile Kikwete tulikupa heshima ya kukupangisha kwenye lile kasri letu hapo magogoni kwa miaka mitano ukapata mwanya kuruka dunia nzima kwa kutumia mwewe wetu yule wa gulfstream, tupende nasi watanzania tuliokupa mwanya huo umsaidie Dr. Slaa asafaishe uchafu ambao uliofanya pamoja na rafiki zako wa CCM.


....................................................................................Ijumaa jioni: Ulabuni sasa.
 
Cv nzuri ila nina wasiwasi na chama chake kama taasisi.... Na hiyo milungula ya wanaowapisha hao waliopita bila kupingwa...

Hongera na kila la heri...
 
Hapo kwenye nyekundu sijaelewa alisomaje vyuo viwili kwa wakati mmoja?

Nahapo kwenye blue sijaelewa alikuwa anasoma programme na level gani? kwani kwingine kote umetuwekea ADV.Diploma etc.

kwenye nyekundu itakuwa mtu aliyetuma hii post amekosea
maana yake kuna gap ya miaka mitatu kutoka 1976 mpaka 1979

kwenye blue
JCD ni Juris Canonici Doctor / hii ni PHD
summa cum laude ni Distinction
 
Back
Top Bottom