He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

ohooo!! kumbe best nilifikiri kuwa mmegombana
Kuna uzi mmoja tuliwahi kutofautiana kihoja na dada yangu lara 1, nadhani yeye bado alikua anakumbuka uzi huo wakati mimi nilishasahau. Baada ya kusoma uzi wake mmoja humu nikaamua kuweka taarifa sawa tu. lara 1 ni dada yangu mpenzi na wala haitatokea kama anavyohisi....
 
kabisaa gwijimimi Nani anayetaka maumivu ya kichwa?! wanawake wazuri ni sheedah, wanao oa wengi wanaoa wanawake wakawaida tu wenye kujitambua, wanawake wengi wazuri hawana ndoa wanaishia kuwa viburudisho tu kama sio michepuko, thats reality
wanaongoza sana kuhudhiria sherehe za harusi za wenzao kila weekend
wanaongoza sana kwa kuchangia sherehe za wenzao n still the funny thing is they never learn how to be womenthey never learn about being responsible anyway kila la kheri kwao waendelee tu kua viburudisho wetu na waendelee kuchangia wenzao
 
daahhhh wewe Lara 1 ni noumahhhh...Nikija hili jukwaa natafuta post zako kwanza then mengine yanafuatia....napenda the way u narrate ur life style.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom