Hayati Mwalimu Nyerere, napenda kukujulisha yafuatayo yanayoendelea

ZINDAGI

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
1,117
1,425
Ee Mwalimu Nyerere, leo tunaadhimisha miaka 24 tangu kuondoka kwako ktk uso wa dunia, haswa hapa Tanzania.

Napenda kukujulisha yafuatayo yanayoendelea.

1. Hapa nilipo naandika huu uzi umeme umekatwa na Tanesco.
2. Bei ya mafuta ni zaidi ya Tsh 3,000
4. Kwa mara ya kwanza Yanga kaingia makundi tangu ulipofariki.
5. Taifa Stars kaingia fainali za African Cup of Nation.

Mengine ndugu zangu wataendeleza
 
Back
Top Bottom