Hayati Magufuli alivyowacheka wazungumzaji uzinduzi wa ikulu Chamwino

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,444
8,312
Naona mmejitahidi Sana kukwepesha kwepesha UKWERI......

Naomba niwaambie watanzania Wengi hawaoni hayo majengo au Ile halaiki kichwani mwao wakisikia uzinduzi wa ikulu Dodoma.......

Hii ndo picha inayokuja kichwani mwao siyo hayo majebgo meupe. Meupe......

Jingine Mmefanya vizuri kutomtaja huyo Mwamba otherwise mgeumbuka, lile shangwe na vibe ambalo lingeibuka lingewaharibia SIku kabisa ....

.Naona mlijifunza kule rufiji. Ila ndo hivyo Magufuli ni itikadi hakwepeki kaacha alama kila Kona na miradi Yake mingi.ndo Kwaanza Ipo katikati.......

1684583055181.png
 
Mbona na mama Janet yupo
Hakuna mashindano kwenye serikali na kama mmoja anaacha kabla hajamaliza na wengine wanaendeleza, ndio kanuni ilivyo

Pia kama ina maslahi na Taifa kwa ujumla
Hakuna mali binafsi
Screenshot_20230520_125336_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom