Hayati Magufuli alivyomponza Mfugale mpaka akafa kwa presha

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,101
36,063
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako.

Hakuwa mnafiki kujifanya anakupenda wakati hakupendi,
Marafiki zake walimpenda kwa hilo walijiaminisha kuwa atawalinda milele kwa lolote ambalo lingetokea wakasahau maandiko matakatifu kuwa amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu.

Mmoja kati ya marafiki wa Magufuli alikuwa bwana Mfugale. Kiasili huyu bwana hakuwa fisadi, alikuwa mtu msafi ndio maana Magufuli alimpenda.

Mara kadhaa aliomba kustaafu ila alikataliwa na Magufuli maana kama nguvu alikuwa nazo na bado Taifa lilihitaji msaada wake.

Tatizo likaja ni kuwa Magufuli alifanya Tanroads kama kampuni yake kupatia humo akatengeneza madili mengi sana na akaipa kazi zisizokuwa za kwake kiasili, mfano usimamiaji na ununuzi wa mitambo ya kiwanda cha sukari Mkulazi cha mkoani Morogoro. Hii kazi ilipaswa kusimamiwa na TAMESA ila ikaagiea Tanroads waifanye, bilioni 68 zikapotea kimiujiza.

Pili uwanja wa ndege wa Chato uliotakiwa kusimamiwa na mamlaka ya viwanja vya ndege nchini jukumu hilo akapewa Tanroads ya Mfugale.

Bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa sh bilioni 17.79 lakini mpaka uwanja unakamilika ilitumika bilioni 52.32 mara tatu ya bajeti, kiasi cha zaidi ya bilioni 34.

Nani angethubutu kuhoji matumizi hayo mbele ya John Pompeo.

Miezi michache baada ya Magufuli kufariki ndio mamlaka husika zikaanza kuimulika na kuomba ufafanuzi wa matumizi ya Tanroads.

Madudu yaliyoibuliwa huko ni mengi sana, yalikuwa yanaenda kuharibu heshima ya mzee Mfugale aliyoijenga kwa miaka mingi.

Siku chache kabla ya Mfugale kufariki iligundulika kuwa Tanroads ilifanya malipo mara mbili kwa kampuni fulani ya ujenzi kwa kazi moja yaani double payment.

Mzee wa watu akaingia kwenye sonona akajilaumu bora angestaafu mapema akalea wajukuu kuliko kuingia kwenye kashfa ambazo alikuwa tu akipokea maelekezo toka kwa mwendazake.

Sonona inaua akafa kwa presha na masikitiko moyoni

RIP Mfugale
 
Mtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.

Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???

Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
 
Mtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.

Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???

Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
mkuu waache watu waseme madukuduku yao, mengi yana ukweli sababu wanatoa na ref.
 
Mtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.

Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???

Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Hii nyuzi isingekuwa ya maana basi hata wewe usingechangia. Ungesoma na kusepa tu. Lakini umechangia na wengine wanachangia. Kuongea uovu wa Magufuli ni kuitendea haki Tanzania yetu ili baadaye tusije tukazembea tukaleta tena mtu wa HOVYO na MSHAMBA kama Magufuli
 
Mtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.

Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???

Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Ahahahahahah bagisha batororonyo
 
Ondoa Mkapa hapo. Mkapa kufa kwake kuna mkono wa Magufuli. Mkapa alishakuwa mwiba kwa Magufuli kuhusu kuondoa ukomo wa muda wa kutawala wa miaka mitano kwa vipindi viwili. Mkapa alikwisha weka wazi msimamo wake juu ya katiba na Tume Huru ya Uchaguzi. Hivyo vitu vilikuwa vinamkera magufuli
Kuna nyepesi wakamwondoa Mzee wa Lupaso ili wachezee Katiba - mambo yakagonga mwamba, mwendazake (Stelling) akaondoka .... wafuasi wake kwa sasa wanashikilia bomba - aisee haya mambo kwa kweli, mwanadamu kujua kesho yako ni fumbo na hapa ndipo Mwenyezi Mungu alicheza pele.
 
kuna nyepesi wakamwondoa Mzee wa Lupaso ili wachezee Katiba - mambo yakagonga mwamba, mwendazake akaondoka na wafuasi wake kwa sasa wanashikilia bomba - aisee haya mambo kwa kweli, mwanadamu kujua kesho yako ni fumbo na hapa ndipo Mwenyezi Mungu alicheza pele.
What if he mkapa had to be killed ili wahitaji wa kifo Cha Magufuli walahisishe njia? And what if it was a trend ya kuua inner circle wa Magufuli, Why kijazi, Why mfugale, why mahiga?

Oooh COVID19 nilisahau basi yote ni uzushi tuyapuuze yote.


Vipi kuhusu mzindakaya yeye alikufaje? Safari zake/yake ikulu ilibeba nini.

Ogopa scorpion it's deadly scorpion akichukia na kurusha mkojo wake.

Maisha ni yetu tuishi kwa heshima Kwa Jamhuri na state observe ur limits.

Uraisi sio ufalme ukileta ufalme na usaliti unaondoka.

Rwanda was his first country to visit, pumbavu it can't be aliendq kufanya nini na ili iweje Kwa faida ya nani.

No no it against ndio ashaendq maisha yaendelee.

Hizo speculations hazisaidii ndio ashasepa na Mama la Mama yupo anasongesha nchi.

Asiyesikia la Mkuu huzikwa na huzikwa huzikwa kweli maana guu linakuwa lishavunjika na uzima hukaa kwenye guuuuu .... Nahene tata.
 
Back
Top Bottom