Hayati Magufuli alitaka kukata "Chain" ya JK akaondoka Mama 2025 Ataweza?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,622
15,951
Ni wazi John Magufuli (marehemu) alitaka kukata kabisa mzizi wa Utawala wa awamu ya 4 hapa nazungumzia wafanyabiashara na watawala huko serikalini.

Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu aliondoka kabla hajafikia malengo na tukampata Mama kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii.

Nipo hapa najiuliza tu Mama Samia ataweza kukata mzizi wa JK.?

Karibuni.
 
Kwa nini unafikiri Samia anataka kukata mizizi ya JK?
 
Ni wazi John Magufuli (marehemu) alitaka kukata kabisa mzizi wa Utawala wa awamu ya 4 hapa nazungumzia wafanyabiashara na watawala huko serikalini.

Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu aliondoka kabla hajafikia malengo na tukampata Mama kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii.

Nipo hapa najiuliza tu Mama Samia ataweza kukata mzizi wa JK.?

Karibuni.
Kwani lazima kuikata? Si una kula nayo tuu.?
 
Ni wazi John Magufuli (marehemu) alitaka kukata kabisa mzizi wa Utawala wa awamu ya 4 hapa nazungumzia wafanyabiashara na watawala huko serikalini.

Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu aliondoka kabla hajafikia malengo na tukampata Mama kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii.

Nipo hapa najiuliza tu Mama Samia ataweza kukata mzizi wa JK.?

Karibuni.
Saa100 hana mpango huo kuvunja uhusiano na hawara yake?!! Hata siku moja
 
Back
Top Bottom