haya tena Magaidi Watumia mbinu mpya ya kuwauwa watu kwa kuwatuma njiwa kasheshe kweli dunia yetu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,128
546057_129465367189690_100003786837171_125934_1046907301_n.jpg


Hilo bomu litafika kule linapokwenda jamani????????????????
 
Shit! Hata wawatume wake zao bado kuna siku watashindwa. Nashauri kuanzia sasa kuwaua njiwa wote ambao hawakai matunduni mwao ili tuone watawapata wapi hao njiwa. Kuanzia leo natangaza nchi zote zikomeshe uingizwaji na uuzaji wa njiwa katika mipaka yake. Lol! Nimefikiri kama Joji Kichaka ila inatisha washirika.
 
Halitafika 7bu njiwa kafungwa mbawa zake so hataweza kuruka na litaishia kuwalipukia wenyewe!
 
Back
Top Bottom