Mkasika
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 391
- 155
Acha kuwaraghai watu hkn kazi ulaya zaidi ya kubeba box. Iwe umesoma degree Tz au Ulaya bado ngumu kwa mwafrika kpt kz professional. Mi naongea haya c kwa kusikia bali nimekaa Norway 4yrs nikaja Uk nikakaa 5yrs, nikaona hkn ramani ya kimapato zaidi ya kupt hz huduma unazosema eti kutibiwa bure. Bro ht hp Tz kuna bima ya afya ambayo inaextend from managers mpk mama ntilie. Wandugu jameni labda mkaoshe macho tu au kusoma(na plz uwe na sponsor otherwise elimu imekuwa ghali esp UK) kiujumla UK is very stressful to live. Mi nimerudi na videgree vyangu ss nakula kuku hapa Tz(mkataa kwao mtumwa)
Acha hizo mkuu, We need not to fight or discourage opinon oy your like for the situation on peoples life. Some people had good choice to go where they desired to make up a living, while others even they didn't make it to their desire, and others they failed to attempt. So we are all one but in different junctions of progress. Why; You who may be better today insult those who are still making their way up slowly by step to leave homeland can be blessed victory or a failure, so nor one choose to fail. My plea; Pray and wish them well those who are struggling with odd jobs, because kesho waweza jiona chini na uwaulize njia ya kuishi maisha rahisi. so at the end of the journey when we are called Home by our BIG DAD, GOD, we leave everything on earth. May you all have victorious day, na endelea vizuri kula kuku TZ.