Haya ndiyo matukio yaliyonifanya niidharau michuano ya Kombe la Mapinduzi

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
(1) Mchezo wa Simba sc vs APR hapa Kuna tukio lilinishangaza Mchezaji Onana hakuwepo hata sub, na nilimuona Jukwaani lakini mchezo ulipochezwa dakika 45 za kwanza kumalizika kwa timu bila kufungana Cha kushangaza kipindi Cha pili Onana aliingia uwanjani na kulisakata kabumbu kwa kweli hili lilinishangaza sana na kunidharau hii michuano ya Mapinduzi cup.

(2)Mchezo wa Mlandege vs APR ya Rwanda, Kuna goli lilifungwa lilikua ni clear kabisa bila ya kupepesa macho Cha ajabu marefa wote walikaa kimya na kufuata maamuzi ya Refa wa Kati kuwa siyo goli, niliona APR wamehujumiwa waziwazi bila kificho.

Kocha wa APR alisemakuwa "hatutoshiriki Tena michuano ya Mapinduzi cup kutokana na uhuni wa marefa kuchezesha mpira kwa kupendelea"

NALIA NGWENA naungana na APR ya Rwanda na kusema kuwa sitopoteza muda wangu kuangalia michuano ya Mapinduzi cup kipindi kingine.

(3)Singida fountain gate vs Simba sc ile Kona waliyopewa Simba sc na kusawazisha kwa akili ya kawaida marefa walikuwepo walitaka Simba sc washinde na kweli walifanikiwa kwa asilimia mia moja kwa kuhakikisha Simba sc inashinda.

SINGIDA walihujumiwa kwa silimia mia wao walistahili kucheza fainali na si Simba sc.

Nawasilisha hoja.
 
Ila ndugu kama tukiongea football ni ipi tuseme sababu ya kushangaa kuona mchezaji akiwa jukwaani kisha baadae kushiriki mchezoni kama kuna sheria ipo against hiyo ni ipi ili tujifunze wote

Ila pili ndugu watu wanaanzia kusema dk6 kuongezwa ni nyingi sasa swali linakuja kwamba je hizi dk6 ni kwaajili ya simba tu kucheza au kwaajili ya timu zote

Tatu ile corner ni alali wakati mpira upo kwemye motion ya kupigwa na Saido nadhani ukicheki vizuri replays utaona deflection kwa kijiri ndio maana ni tafsiri ya wazi tukaona kipa alidakia ule mpira nje na issue sio kudaka na kutoka nao ila deflection ya kijiri akifanya block led to corner kick
 
Siku Singida walipocheza dhidi ya Azam kwenye hatua ya robo fainali, mwamuzi alimaliza mpira baada ya dakika 8! Tofauti kabisa na zile 5 za nyongeza. Yaani alionesha wazi kabisa shauku yake ilikuwa ni kuiona Azam inapiti ili iktane na simba! badala ya SFG!

Nadhani hayo mashindano ni ya kijinga tu. Bila shaka hao waliosusa wako sahihi kabisa.
 
(1) Mchezo wa Simba sc vs APR hapa Kuna tukio lilinishangaza Mchezaji Onana hakuwepo hata sub, na nilimuona Jukwaani lakini mchezo ulipochezwa dakika 45 za kwanza kumalizika kwa timu bila kufungana Cha kushangaza kipindi Cha pili Onana aliingia uwanjani na kulisakata kabumbu kwa kweli hili lilinishangaza sana na kunidharau hii michuano ya Mapinduzi cup.

(2)Mchezo wa Mlandege vs APR ya Rwanda, Kuna goli lilifungwa lilikua ni clear kabisa bila ya kupepesa macho Cha ajabu marefa wote walikaa kimya na kufuata maamuzi ya Refa wa Kati kuwa siyo goli, niliona APR wamehujumiwa waziwazi bila kificho.

Kocha wa APR alisemakuwa "hatutoshiriki Tena michuano ya Mapinduzi cup kutokana na uhuni wa marefa kuchezesha mpira kwa kupendelea"

NALIA NGWENA naungana na APR ya Rwanda na kusema kuwa sitopoteza muda wangu kuangalia michuano ya Mapinduzi cup kipindi kingine.

(3)Singida fountain gate vs Simba sc ile Kona waliyopewa Simba sc na kusawazisha kwa akili ya kawaida marefa walikuwepo walitaka Simba sc washinde na kweli walifanikiwa kwa asilimia mia moja kwa kuhakikisha Simba sc inashinda.

SINGIDA walihujumiwa kwa silimia mia wao walistahili kucheza fainali na si Simba sc.

Nawasilisha hoja.
🙄🙄
 
Attachments

  • IMG_20240113_003425.jpg
    IMG_20240113_003425.jpg
    31 KB · Views: 3
  • IMG_20240113_003425.jpg
    IMG_20240113_003425.jpg
    31 KB · Views: 2
Ila ndugu kama tukiongea football ni ipi tuseme sababu ya kushangaa kuona mchezaji akiwa jukwaani kisha baadae kushiriki mchezoni kama kuna sheria ipo against hiyo ni ipi ili tujifunze wote

Ila pili ndugu watu wanaanzia kusema dk6 kuongezwa ni nyingi sasa swali linakuja kwamba je hizi dk6 ni kwaajili ya simba tu kucheza au kwaajili ya timu zote

Tatu ile corner ni alali wakati mpira upo kwemye motion ya kupigwa na Saido nadhani ukicheki vizuri replays utaona deflection kwa kijiri ndio maana ni tafsiri ya wazi tukaona kipa alidakia ule mpira nje na issue sio kudaka na kutoka nao ila deflection ya kijiri akifanya block led to corner kick
Kamati ya waamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), imesema kuwa Mwamuzi Nasri Salum hakustahili kuipa Simba kona iliyoifanya ipate bao la kusawazisha, katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi, wakati ikicheza na Singida Fountain Gate jana kwenye Uwanja wa Amaan.

Katika mchezo huo, Simba iliibuka na ushindi wa mikwaju ya penalti 3-2 baada ya timu hizo kutoka sare ya bao 1-1 katika muda wa kawaida wa mchezo.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, Waziri Shekha amesema uamuzi wa kuipa Simba kona katika dakika za nyongeza, haukuwa sahihi na kwa mwamuzi huyo alifanya makosa, japo kamati hiyo haiwezi kumpa adhabu.

"Nilikwambia kwamba tutachunguza na tumekutana leo, tumebaini kwamba kulikuwa na makosa ya mwamuzi. Haikupaswa kuwa kona. Hakuna sehemu ambayo mpira ulichezwa na mchezaji wa Singida na kipa akaudakia nje, hivyo haikuwa sahihi kuwa kona,” amesema na kuongeza;

“Ni makosa ya kibinadamu na ndio kosa pekee tumeliona baada ya kupitia ripoti na marudio ila sehemu zingine zote alikuwaa sahihi. Uzito wa kosa alilofanya hautoshi kumpa adhabu refa huyo ukizingatia amekuwa akichezesha vyema mechi nyingi.”

Soma zaidi kwenye tovuti ya Mwananchi
(Imeandikwa na Khatimu Naheka)
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa

Source Mwananchi
 
Ndugu mchambuzi kwa nini hujachambua jinsi Singida walivyokosa zile penati 3?

Je na kwenye penati walihujumiwa?

Nina mashaka na afya ya akili yako kijana mchambuzi
MBONA HUZUNGUMZIII KUHUSU ILE KONA YA MCHONGO WALIYOPEWA SIMBA SC??
 
Back
Top Bottom